OleWako
Member
- Sep 7, 2021
- 10
- 43
Hawa Sandaland waliingiaje kwenye nafasi ambapo wapo saivi kutengeneza majezi ya Taifa Stars na Simba?? Baada ya set za kwanza za Simba na T-Stars niliona niwape benefit of doubt.. yaani waliingia tu sokoni. Ila kwenye hiyo majezi mapya ya Simba wameonesha na thibitisha hawana ubunifu wa kutosha kutengeneza majezi kwa timu za kiwango hiki.. Bora VunjaBei au GSM lakini Sanda kwa kweli hapana.. hakuna kitu hapo