Sandaland waache kutengeneza Jezi

Sandaland waache kutengeneza Jezi

Hawa Sandaland waliingiaje kwenye nafasi ambapo wapo saivi kutengeneza majezi ya Taifa Stars na Simba??
Kwani wanatengeneza wao? By the way, mbona jezi ni nzuri tu? Hiyo picha kulikuwa na high brightness, angalia ikiwa katika mwanga wa kawaida
 
Ila maisha haya yaani watu na akili zao wamekaa hata hawakupata wazo la kiutafakari hilo neno Sanda litatafsirikaje. duuh.

#Mbumbumbu
Sio tu kutafakari
Ifike mahala mtu aajiriwe kama tunavyosajili wachezaji! hii fedheha kabisa hivi wanazichukuliaje hizi Club zinazojitoa kimasomaso
 
lakini Sanda kwa kweli hapana.. hakuna kitu hapo

Mbona nzuri?

1721829317194.png
 
View attachment 3050876
Hawa Sandaland waliingiaje kwenye nafasi ambapo wapo saivi kutengeneza majezi ya Taifa Stars na Simba?? Baada ya set za kwanza za Simba na T-Stars niliona niwape benefit of doubt.. yaani waliingia tu sokoni. Ila kwenye hiyo majezi mapya ya Simba wameonesha na thibitisha hawana ubunifu wa kutosha kutengeneza majezi kwa timu za kiwango hiki.. Bora VunjaBei au GSM lakini Sanda kwa kweli hapana.. hakuna kitu hapo
Daaah, hapa Simba wamepigwa na designer...alichofanya nikubadilisha rangi za jezi tu na kola ila 'Pateni' ya designing ni ile ile.
Hivi viongozi kwenye ku'review designing na kuletewa jezi za sampo hawakuliona hili?

Maswali ni mengi ila acha niishie hapa hapa kwa leo
 
Ila maisha haya yaani watu na akili zao wamekaa hata hawakupata wazo la kiutafakari hilo neno Sanda litatafsirikaje. duuh.

#Mbumbumbu
Simba haina viongozi.Fikiria wajumbe wote wa bodi sijui walipigwa kurujuani!
Wanapitishaje jezi imeandikwa Sanda!
Kuna siku mtaandikiwa tusi la nguo ya ndani na mtavaa tu kwa vile hamjielewi
 
Na kwanini wakaamua kuweka neno 'SANDA'?
hawakuwaza neno hilo lina maana nyingine kwenye lugha yetu, na je kama waliona neno la SANDALAND ni refu kwanini wasingelifanya liwe dogo ili azma yao ya kuweka jina lao litimie?

Kazi kweli kweli
 
Asipouza vizuri ni ujinga wake mwenyewe. Haiwezekani watu na akili zao usikute hata 10 wasione shida ya hilo neno. Unapo design kitu fikiria consumer badala ya kujifikiria wewe. Mimi naweza nisione tatizo ila je majority?
Amelipwa na wahuni wa upande wa pili maana mipesa wanajichotea tu .Hata asipouza tayari pesa alishalipwa kuharibu shughuli ya watu
 
View attachment 3050876
Hawa Sandaland waliingiaje kwenye nafasi ambapo wapo saivi kutengeneza majezi ya Taifa Stars na Simba?? Baada ya set za kwanza za Simba na T-Stars niliona niwape benefit of doubt.. yaani waliingia tu sokoni. Ila kwenye hiyo majezi mapya ya Simba wameonesha na thibitisha hawana ubunifu wa kutosha kutengeneza majezi kwa timu za kiwango hiki.. Bora VunjaBei au GSM lakini Sanda kwa kweli hapana.. hakuna kitu hapo
Design ya jezi ziko poa wamekosea kwenye hiyo brand name yao tu. Jezi ni kama logo inabidi ziwe simple hata mtoto mdogo aweze kuichora siyo zenu zile zenye vibanda vibanda. Jezi haihitaji mambo mengi.
 
"MO DEWJ" ,,kwakweli hili neno linaniudhi sana kuwekwa kwenye jezi,
Tena mgongoni.

Hivu hakuna ubunifu bila kuweka neno hili "MO DEWJ "maandishi makubwa mgongoni.
Kwakweli linatoa uzuri wote wa jezi za SIMBA..
Maandishi mgongoni ni ya nn?
 
View attachment 3050876
Hawa Sandaland waliingiaje kwenye nafasi ambapo wapo saivi kutengeneza majezi ya Taifa Stars na Simba?? Baada ya set za kwanza za Simba na T-Stars niliona niwape benefit of doubt.. yaani waliingia tu sokoni. Ila kwenye hiyo majezi mapya ya Simba wameonesha na thibitisha hawana ubunifu wa kutosha kutengeneza majezi kwa timu za kiwango hiki.. Bora VunjaBei au GSM lakini Sanda kwa kweli hapana.. hakuna kitu hapo
Wewe unawatengenezea timu gani jezi?
 
Na kwanini wakaamua kuweka neno 'SANDA'?
hawakuwaza neno hilo lina maana nyingine kwenye lugha yetu, na je kama waliona neno la SANDALAND ni refu kwanini wasingelifanya liwe dogo ili azma yao ya kuweka jina lao litimie?

Kazi kweli kweli
Ni bora hilo SANDA je wangeweka LAND je..
 
View attachment 3050876
Hawa Sandaland waliingiaje kwenye nafasi ambapo wapo saivi kutengeneza majezi ya Taifa Stars na Simba?? Baada ya set za kwanza za Simba na T-Stars niliona niwape benefit of doubt.. yaani waliingia tu sokoni. Ila kwenye hiyo majezi mapya ya Simba wameonesha na thibitisha hawana ubunifu wa kutosha kutengeneza majezi kwa timu za kiwango hiki.. Bora VunjaBei au GSM lakini Sanda kwa kweli hapana.. hakuna kitu hapo
Unataka ubunifu gani.
 
Back
Top Bottom