Hapa kwenye SANDA ndo nmeshangaa.Ndiyo watuletee SANDA
Asipouza vizuri ni ujinga wake mwenyewe. Haiwezekani watu na akili zao usikute hata 10 wasione shida ya hilo neno. Unapo design kitu fikiria consumer badala ya kujifikiria wewe. Mimi naweza nisione tatizo ila je majority?Ila maisha haya yaani watu na akili zao wamekaa hata hawakupata wazo la kiutafakari hilo neno Sanda litatafsirikaje. duuh.
#Mbumbumbu
NI kweli kabisa usemalo Mtani.Asipouza vizuri ni ujinga wake mwenyewe. Haiwezekani watu na akili zao usikute hata 10 wasione shida ya hilo neno. Unapo design kitu fikiria consumer badala ya kujifikiria wewe. Mimi naweza nisione tatizo ila je majority?
They dont want to design something new, yaan haina tofauti na ya mwaka jana… inakuwaje watu kma hawa wanapata hii tender ?View attachment 3050876
Hawa Sandaland waliingiaje kwenye nafasi ambapo wapo saivi kutengeneza majezi ya Taifa Stars na Simba?? Baada ya set za kwanza za Simba na T-Stars niliona niwape benefit of doubt.. yaani waliingia tu sokoni. Ila kwenye hiyo majezi mapya ya Simba wameonesha na thibitisha hawana ubunifu wa kutosha kutengeneza majezi kwa timu za kiwango hiki.. Bora VunjaBei au GSM lakini Sanda kwa kweli hapana.. hakuna kitu hapo