Kwani wanatengeneza wao? By the way, mbona jezi ni nzuri tu? Hiyo picha kulikuwa na high brightness, angalia ikiwa katika mwanga wa kawaidaHawa Sandaland waliingiaje kwenye nafasi ambapo wapo saivi kutengeneza majezi ya Taifa Stars na Simba??
Sio tu kutafakariIla maisha haya yaani watu na akili zao wamekaa hata hawakupata wazo la kiutafakari hilo neno Sanda litatafsirikaje. duuh.
#Mbumbumbu
Daaah, hapa Simba wamepigwa na designer...alichofanya nikubadilisha rangi za jezi tu na kola ila 'Pateni' ya designing ni ile ile.View attachment 3050876
Hawa Sandaland waliingiaje kwenye nafasi ambapo wapo saivi kutengeneza majezi ya Taifa Stars na Simba?? Baada ya set za kwanza za Simba na T-Stars niliona niwape benefit of doubt.. yaani waliingia tu sokoni. Ila kwenye hiyo majezi mapya ya Simba wameonesha na thibitisha hawana ubunifu wa kutosha kutengeneza majezi kwa timu za kiwango hiki.. Bora VunjaBei au GSM lakini Sanda kwa kweli hapana.. hakuna kitu hapo
Simba haina viongozi.Fikiria wajumbe wote wa bodi sijui walipigwa kurujuani!Ila maisha haya yaani watu na akili zao wamekaa hata hawakupata wazo la kiutafakari hilo neno Sanda litatafsirikaje. duuh.
#Mbumbumbu
Amelipwa na wahuni wa upande wa pili maana mipesa wanajichotea tu .Hata asipouza tayari pesa alishalipwa kuharibu shughuli ya watuAsipouza vizuri ni ujinga wake mwenyewe. Haiwezekani watu na akili zao usikute hata 10 wasione shida ya hilo neno. Unapo design kitu fikiria consumer badala ya kujifikiria wewe. Mimi naweza nisione tatizo ila je majority?
Yaan nisione Tatizo la neno Sanda?Asipouza vizuri ni ujinga wake mwenyewe. Haiwezekani watu na akili zao usikute hata 10 wasione shida ya hilo neno. Unapo design kitu fikiria consumer badala ya kujifikiria wewe. Mimi naweza nisione tatizo ila je majority?
Hivi mimi ni wewe? Hawa tunaowalalamikia wana tofauti gani na wewe kwenye uvivu wa kujua mahitaji ya watu. Mimi najisemea mwenyewe sioni tatizo. Halafu wewe unakuja kuniuliza "yaani wewe hapo usione tatizo?"Yaan nisione Tatizo la neno Sanda?
Design ya jezi ziko poa wamekosea kwenye hiyo brand name yao tu. Jezi ni kama logo inabidi ziwe simple hata mtoto mdogo aweze kuichora siyo zenu zile zenye vibanda vibanda. Jezi haihitaji mambo mengi.View attachment 3050876
Hawa Sandaland waliingiaje kwenye nafasi ambapo wapo saivi kutengeneza majezi ya Taifa Stars na Simba?? Baada ya set za kwanza za Simba na T-Stars niliona niwape benefit of doubt.. yaani waliingia tu sokoni. Ila kwenye hiyo majezi mapya ya Simba wameonesha na thibitisha hawana ubunifu wa kutosha kutengeneza majezi kwa timu za kiwango hiki.. Bora VunjaBei au GSM lakini Sanda kwa kweli hapana.. hakuna kitu hapo
Wewe unawatengenezea timu gani jezi?View attachment 3050876
Hawa Sandaland waliingiaje kwenye nafasi ambapo wapo saivi kutengeneza majezi ya Taifa Stars na Simba?? Baada ya set za kwanza za Simba na T-Stars niliona niwape benefit of doubt.. yaani waliingia tu sokoni. Ila kwenye hiyo majezi mapya ya Simba wameonesha na thibitisha hawana ubunifu wa kutosha kutengeneza majezi kwa timu za kiwango hiki.. Bora VunjaBei au GSM lakini Sanda kwa kweli hapana.. hakuna kitu hapo
Ni bora hilo SANDA je wangeweka LAND je..Na kwanini wakaamua kuweka neno 'SANDA'?
hawakuwaza neno hilo lina maana nyingine kwenye lugha yetu, na je kama waliona neno la SANDALAND ni refu kwanini wasingelifanya liwe dogo ili azma yao ya kuweka jina lao litimie?
Kazi kweli kweli
Unataka ubunifu gani.View attachment 3050876