Sandaland waache kutengeneza Jezi

Angalia hii ya Real Madrid kama ina hayo unayoyalilia, na wao ndio mabingwa wa UEFA Champions League, na wala hatuwasikii na ushamba wa kushikia bango jezi

 
Wazuri hao warembo na si hizo jezi.
Ahaa, kumbe unakubali kuwa inakuwa mbaya ukiivaa wewe! Sasa hayo ni matatizo yako binafsi, usiyahamishie kwa wengine. Kama nguo hazikukubali, usivunje kioo cha kujitazamia 😁 😁 😁
 
Ahaa, kumbe unakubali kuwa inakuwa mbaya ukiivaa wewe! Sasa hayo ni matatizo yako binafsi, usiyahamishie kwa wengine. Kama nguo hazikukubali, usivunje kioo cha kujitazamia 😁 😁 😁
Nasisitiza, wazuri ni hao warembo na si hizo jezi. OVA
 
Aliwaza nini kuandika sanda??? Hata kama kufupisha simba wandike sim basi


Pumbafu kabisa
 
Tatizo Kwa ajili ya ugumu WA Maisha watu wanavaa jezi mpaka kwenye shughuli na nyumba za kuabudia. Hizo ni nguo za mazoezi acheni ushamba.
 
Majezi mabayaaaa anyway uwanjani tutaenda hata na jezi za man u na Liverpool kikubwa wekundu uwepo
 
Asipouza vizuri ni ujinga wake mwenyewe. Haiwezekani watu na akili zao usikute hata 10 wasione shida ya hilo neno. Unapo design kitu fikiria consumer badala ya kujifikiria wewe. Mimi naweza nisione tatizo ila je majority?
Nimekumbuka mfanyabiashara mmoja aliagiza mafuta ya Kula toka Oman yameandikwa Hayati. Yaliyomkuta hatarudia.
 
Ukiwa shabiki wa Yanga unahitaji jezi ya simba iwe nzuri kiasi gani ili ununue uvae?
Mbona wenye Simba yetu tumeshajivalia SANDA yetu na tunatamba nayo mtaani tukisubiri kilele cha Ubaya Ubwela
 
Msema kweli mpenz waMungu nimeshuhudoa watu wengi sana mpaka Wazungu wakiwa wamevaa jezi za Yanga tofauti na za simba
 
Sanda FC bana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…