Sandwich ya mayai ya kukaanga

Sandwich ya mayai ya kukaanga

Dada hiyo rangi nyeusi ya kwenye mkate imepatikana vipi? Na je? kuna aina nyengine ya sandwich zaidi ya hii.
Nalog off

Kaka angu hui weusi iliungua kdg ila ni matokeo ya kuweka kwenye sandwich maker kama nlivomjibu Kbd apo juu
 
Last edited by a moderator:
Owh mie napenda ku toast mkate wangu whole wheat ndio ninaokula alafu naupakaa siagi kdg au peanut butter na kikombe cha maziwa hiyo ndio breakfast niipendayo
toast nikila lazima niweke salami ham nitamje sasa
 
safi sana naomba niwekee mapishi ya mkate wa kumimina au mkate wa mchele
maana kila nikijaribu kuupika unatoka mgumu.

huwa nakoroga uji kama wa vitumbua na unaumuka vizuri tu ila nikibake kwenye oven una toka mkavu mno hauwi mlaini sijui nakosea wapi nishajaribu mchanganyiko mwepezi na mzito lakini wapi
 
Kwa kweli wtt hupenda sana haya makitu
 

Attachments

  • 1417529846725.jpg
    1417529846725.jpg
    62.5 KB · Views: 495
Eti mumie kama sina jiko la sandwich naweza kutumia ujanja gani mwingine?

Toast mkate au uweke kwenye oven kidogo weka mayai na vegetables upendayo na mayonaise then jilie kwa raha zako...

Kama hii ila hii nimeweka kuku
 

Attachments

  • 20150212_202333.jpg
    20150212_202333.jpg
    191.5 KB · Views: 415
  • 20150212_202401.jpg
    20150212_202401.jpg
    189.5 KB · Views: 401
Sio lazma sandwich maker wengine wanaweka tu kati mayai au nyama ukipenda waweka cucumber na nyanya basi unakula tu kama baga vile

Nilivo anza kazi, boss wetu alikua hatupi lunch money basi ikufika lunch akiwa ofisini, anagiz bread na tomato, then anakata slice za tomato sometimes na cucumber sometimes only tomatoes, it was very delicious..
 
Nilivo anza kazi, boss wetu alikua hatupi lunch money basi ikufika lunch akiwa ofisini, anagiz bread na tomato, then anakata slice za tomato sometimes na cucumber sometimes only tomatoes, it was very delicious..

Yeah inakua tamu tu,,,
 
Back
Top Bottom