Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sand which is my evey day breakfat love it
MashaAllah....da #farkihina kwa upishi tu n'mekuvulia kofia
toast nikila lazima niweke salami ham nitamje sasaOwh mie napenda ku toast mkate wangu whole wheat ndio ninaokula alafu naupakaa siagi kdg au peanut butter na kikombe cha maziwa hiyo ndio breakfast niipendayo
safi sana naomba niwekee mapishi ya mkate wa kumimina au mkate wa mchele
maana kila nikijaribu kuupika unatoka mgumu.
huwa nakoroga uji kama wa vitumbua na unaumuka vizuri tu ila nikibake kwenye oven una toka mkavu mno hauwi mlaini sijui nakosea wapi nishajaribu mchanganyiko mwepezi na mzito lakini wapi
Heee utapikishwa kila siku ushajitaftia balaa
asanteeeeeee
Eti mumie kama sina jiko la sandwich naweza kutumia ujanja gani mwingine?
Sio lazma sandwich maker wengine wanaweka tu kati mayai au nyama ukipenda waweka cucumber na nyanya basi unakula tu kama baga vile
Nilivo anza kazi, boss wetu alikua hatupi lunch money basi ikufika lunch akiwa ofisini, anagiz bread na tomato, then anakata slice za tomato sometimes na cucumber sometimes only tomatoes, it was very delicious..