Sane atemwa timu ya taifa kutokana na kutokufiti kwenye mfumo

Sane atemwa timu ya taifa kutokana na kutokufiti kwenye mfumo

daah..

mchezaji anayeanza panga pangua kwenye timu bingwa england hapati namba national team.

anyways mi naona kocha kaamua kuendelea na anachokiamini, anaamini ozil aliyezingua arsenal na wengineo ambao hawakuwa na msimu mzuri wanaweza kuwika zaidi ya sane ambaye ameupiga mwingi zaidi
 
Unakumbuka world cup ya 2010 fainali!?..pasi ya goli alitoa nani?..unaufahamu umuhimu wa pasi ya mwisho?..kati ya ozil na sane nani ana maono kwenye mpira?
 
Ozil kwani anamkabaga nani?
Tukiacha kukaba,kati ya ozil na sane nani ana uwezo mkubwa wa kutengeneza nafasi from no where!?..usipimie man city ambako kasi huifanya timu pinzani kuwa dhaifu kiulinzi
 
Tukiacha kukaba,kati ya ozil na sane nani ana uwezo mkubwa wa kutengeneza nafasi from no where!?..usipimie man city ambako kasi huifanya timu pinzani kuwa dhaifu kiulinzi
Gortzeka na sane msimu huu nani amefanya kazi?
 
Gortzeka na sane msimu huu nani amefanya kazi?
Kazi ya sane man city ilikua moja tu,kukimbia upande wa kushoto na kupiga pasi aidha 45 degrees au krosi,ujerumani hawachezi huo mfumo,kuna mdau hapo juu kasema kocha amemchukua huyo mwingine kwa kuwa ana cha ziada..kukaba
 
Kwani kocha hawezi kumuelekeza ?

Mbona mwanzo alicheza?
 
Kwani kocha hawezi kumuelekeza ?

Mbona mwanzo alicheza?
Hivi chelsea wakiamua kucheza kwa kutumia krosi watampanga nani?..giroud au morata!?..huyo atakaeachwa hawezi kufundishwa kupiga vichwa!?
 
Unakumbuka world cup ya 2010 fainali!?..pasi ya goli alitoa nani?..unaufahamu umuhimu wa pasi ya mwisho?..kati ya ozil na sane nani ana maono kwenye mpira?
siwalinganishi sane na ozil.

na usitake kusema role ya sane haina umuhimu kwenye mpira/timu anayochezea.

nilichosema ni kwamba sane alikuwa na msimu mzuri zaidi kushinda wachezaji wengi ambao wameitwa ujerumani
 
Alikua na msimu mzuri man city..ila ujerumani haichezi mfumo wa man city,waivuruge ujeruman ili sane awemo au wamvuruge sane!!?
 
Tukiacha kukaba,kati ya ozil na sane nani ana uwezo mkubwa wa kutengeneza nafasi from no where!?..usipimie man city ambako kasi huifanya timu pinzani kuwa dhaifu kiulinzi
unaanza kulinganisha attacking midfielders na wingers!!

hapa tutabishana hadi kesho ila sababu ya kumuacha sane anayo joachim low
 
Kocha wa Ujerumani Jogi Loew amesema kuwa sababu kubwa ya kumuacha Leroy Sane ni kwamba bado hajaiva kimataifa.

Loew pia akasema kwamba huenda Sane akafikiriwa mwezi Septemba.

Sane ameachwa baada ya kushindanishwa na mshambuliaji mwingine wa pembeni Julian Brandt wa Bayern Leverkusen.

Ujerumani wana mfumo wa mchujo kwa kila mchezaji na katika sehemu ya wachezaji wa pembeni Sane, Julian Brandt, Julian Draxler, Marco Reus na Thomas Müller wapo kwenye kitu chaitwa Set yaani kundi moja la kila wachezaji wa aina moja.

Ukiangalia uzoefu ni kwamba Sane anakuwa nafasi ya mwisho kulinganisha na hao.

Hivyo sababu kuwa ni uzoefu wa mechi za kimataifa.

Ujerumani hawapeleki timu Russia kujaribujaribu.

Hukumuona EURO ?
NAfasi ya sane kachukua nani hapo ujerumani?..euro alicheza mechi ngapi?alianza zote au sub?
Kukimbia kimbia huko ndiko kulimfanya afunge MAGOLI 16, atoe ASSISTS 18 na kushinda TUZO ya mchezaji chipukizi msimu ulioisha.

Kocha, Joachim Low ameeleza sababu vizuri kabisa; Ya kuwa Sane na Julian Brandit wa Leverkusen wanacheza namba moja ila amemchukua Brandit kwa kuwa anaweza ku offer zaidi ya Sane upande wa kukaba/kuzuia japokuwa ni kweli Julian alikuwa na magoli + assists chache kulinganisha na Sane.

Hayo ni ya mwalimu, tumuachie yeye.

Ni kama yule dogo wa PERU & Villareal, Marcos Penna alivyotolewa kafara ili kumpisha mtu mzima GUERRERO aingie baada ya ban yake ya kutumia COCAINE kuwa lifted kwa muda baada ya rufaa. Dogo anasema hii ni siku mbaya sana kwake katika maisha yake ya mpira.

Mpira sometimes una disappointments zake...

Kumbuka namna ROMARIO alivyolia mbele ya waandishi wa habari baada ya kuachwa na ZAGALO WC ya France, 1998.

The list goes on...
Mkuu sane katika mechi 12 za timu ya taifa alizocheza hajafunga goli hata moja na ka assist moja tu, watu wanapiga kelele lakini hawajamuona sane akiwa na timu ya taifa, sio sane huyo wa man city, sijawahi muona sane akicheza vzr akiwa na NT.

Mbali na hilo saizi sane anacheza akitokea kushoto ambapo tayari kuna Reus na Draxler, timu ya ujerumani ina mapungufu sana upande wa kulia ambapo Brandt ndio ana fit vizuri pia kama Low alivosema Brandt ana offer vitu vingi uwanjani kuliko sane ambae ye ni mzuri kwenye kushambulia tu.
 
Wakati wa EURO mbona alikuwa na nafasi?
 
Wakati wa EURO mbona alikuwa na nafasi?
Euro 2016? Bellarabi, Gotze, schullre, mbona nao walikuwepo. Sane alicheza mechi ngapi kwenye hiyo euro? Na kama unakumbuka vzri kwenye hiyo euro low alishawahi kumzungumzia kwamba sane hajitumi na ni mvivu wanapokua mazoezini.

Kwenye confederation cup mwaka jana, sane alijitoa kwenye mashindani dakika za mwisho kwa kuumia pua though alikua na uwezo wa kucheza.

Ujerumani ina kikosi kipana sana, kwa sababu sane kawika akiwa man city haina maana kwamba hata timu ya taifa anakua hivo.
 
Back
Top Bottom