mwakizega
Senior Member
- Apr 7, 2015
- 165
- 84
Kapewa Julian Brandt aa Bayer LiverkusenNAfasi ya sane kachukua nani hapo ujerumani?..euro alicheza mechi ngapi?alianza zote au sub?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kapewa Julian Brandt aa Bayer LiverkusenNAfasi ya sane kachukua nani hapo ujerumani?..euro alicheza mechi ngapi?alianza zote au sub?
Ozil wanational team nitofauti nahuyu wa arsenal napia sane wa city sio huyu waujerumanKuna vilaza kama Leon gortzerka,Julian hakuwa na consistance PSG,Mario Gomez ,
Hawa wote hadi mesuit ozil sane msimu huu kapiga mpira mkubwa mno kuwapita wote
Huyu dogo hakuna cha mfumo...amekosana na baadhi ya wachezaji wenzake kama kina Muller.... halafu ana dharau za chinichini..kama Naiggolan tu...sipati Picha ingekuwa bongo hapa star mmoja katemwa timu ya taifa, huyo kocha lazima alogwe[emoji23] [emoji23] .
View attachment 793937
Ulitaka hawa waachweKocha wa Ujeruman kaonyesha ubaguzi mkubwa kumuacha mchezaji bora chipukizi wa msimu...na media kubwa zinahusisha na ubaguzi...wafuatao hawakustaili kuchaguliwa katika kikosi cha Ujerumani, Reus kaitwa kupewa fadhila cz amekosa tournament nyingi za kimataifa kwa sababu ya majeraha i.e World Cup iliyopta...Neur kipa ajacheza karbu msimu wote fadhila...Dxlar moda mwingi amesotea benchi atlst angeweza kuitwa...Ozil ni kimeo japo mimi ni Mshabiki wa Arsenal.....kocha wa Ujeruman kafanya maamuzi ya kpuuz na yatawacost kama ilivyo kwa Martnez wa Belgium na Kocha wa Argentina kwa kumuacha Mauro Icard kisa Messi hampendi kwa sababu ya masuala ya nje ya uwanja ya kutoka na mke wa Max Lopez(Binafs tabia ya Icard iliniuzi lakini haitakiwi kuingilia kazi)...namtabiria Brazil kubeba kombe ili la dunia pale Russia 2018
kabisa..Ozil wanational team nitofauti nahuyu wa arsenal napia sane wa city sio huyu waujeruman
Mshua wake alikuwa kocha wa Zenji kipindi fulani....dogo alikuwa akija Zenji kumsalimu babake...Si aombo uraia kwetu Tz,Acheze mpka wa muingize na wheelchair uwanjani
Mzee Baba Usimzungumzie kabisa huyo mtaalamu Leon Goretzka,katika klabu anaweza asiwe vizuri ila timu ya taifa kazi yake ni nzuri katika kikosi cha kwanza national timu simuachi kabisaKuna vilaza kama Leon gortzerka,Julian hakuwa na consistance PSG,Mario Gomez ,
Hawa wote hadi mesuit ozil sane msimu huu kapiga mpira mkubwa mno kuwapita wote
Niambie playmaker anaeweza chukua nafasi ya Ozil national team,Ozil is indispensable national teamdaah..
mchezaji anayeanza panga pangua kwenye timu bingwa england hapati namba national team.
anyways mi naona kocha kaamua kuendelea na anachokiamini, anaamini ozil aliyezingua arsenal na wengineo ambao hawakuwa na msimu mzuri wanaweza kuwika zaidi ya sane ambaye ameupiga mwingi zaidi
Tuone kama atapangwaMzee Baba Usimzungumzie kabisa huyo mtaalamu Leon Goretzka,katika klabu anaweza asiwe vizuri ila timu ya taifa kazi yake ni nzuri katika kikosi cha kwanza national timu simuachi kabisa
Ana asili ya Cameroon.. sasa atachezaje Nigeria??? Au unafikir wanacheza tu timu wanazojisikia..hizi si klabu mzee babaChama cha soka cha Nigeria kimepelea maombi ya kumuomba sane akubali kuchezea Nigeria this world cup.
Wanasubiri majibu.
Wewe ndio hujaelewa...umedandia tu kwa kujibu ili na wewe uwe wa kwanza kujibu.Ana asili ya Cameroon.. sasa atachezaje Nigeria??? Au unafikir wanacheza tu timu wanazojisikia..hizi si klabu mzee baba
Kwani huyu euro na mechi za kirafiki zilizo kwenye kalenda ya fifa si alishacheza? Hiko chama cha soka mbumbumbu tuWewe ndio hujaelewa...umedandia tu kwa kujibu ili na wewe uwe wa kwanza kujibu.
Iko hivi, Nigeria walitaka kumpa uraia kama wao ili aupige timu yao. Kama Origi mjaluo alivyopewa uraia na Belgium.
Origi kazaliwa Belgium na kaishi humo karibia kipindi chote hadi anaanza kucheza soka hivyo ni kama pure mbelgiji....Sane hana relation yoyote na Nigeria.. mshua ake mcameroon na mamake mjerumani..kazaliwa na kukulia German..hivyo he can only play for two teams;Cameroon and German.. usipende udakuudaku jomba..Wewe ndio hujaelewa...umedandia tu kwa kujibu ili na wewe uwe wa kwanza kujibu.
Iko hivi, Nigeria walitaka kumpa uraia kama wao ili aupige timu yao. Kama Origi mjaluo alivyopewa uraia na Belgium.
Kocha ni mnafiki binafisi nimemuona sane baada ya kuwa anaingia national team EURO iliyopita sasa anaposema hafit mfumo nakuwa simuelewi