Sane atemwa timu ya taifa kutokana na kutokufiti kwenye mfumo

katemwa Radja Naigglona bwana jembeeee Belgium yote ilitamani kulia.....sembuse huyoo dogo??
 
Kuna vilaza kama Leon gortzerka,Julian hakuwa na consistance PSG,Mario Gomez ,
Hawa wote hadi mesuit ozil sane msimu huu kapiga mpira mkubwa mno kuwapita wote
Ozil wanational team nitofauti nahuyu wa arsenal napia sane wa city sio huyu waujeruman
 
Kocha wa Ujeruman kaonyesha ubaguzi mkubwa kumuacha mchezaji bora chipukizi wa msimu...na media kubwa zinahusisha na ubaguzi...wafuatao hawakustaili kuchaguliwa katika kikosi cha Ujerumani, Reus kaitwa kupewa fadhila cz amekosa tournament nyingi za kimataifa kwa sababu ya majeraha i.e World Cup iliyopta...Neur kipa ajacheza karbu msimu wote fadhila...Dxlar moda mwingi amesotea benchi atlst angeweza kuitwa...Ozil ni kimeo japo mimi ni Mshabiki wa Arsenal.....kocha wa Ujeruman kafanya maamuzi ya kpuuz na yatawacost kama ilivyo kwa Martnez wa Belgium na Kocha wa Argentina kwa kumuacha Mauro Icard kisa Messi hampendi kwa sababu ya masuala ya nje ya uwanja ya kutoka na mke wa Max Lopez(Binafs tabia ya Icard iliniuzi lakini haitakiwi kuingilia kazi)...namtabiria Brazil kubeba kombe ili la dunia pale Russia 2018
 
Ulitaka hawa waachwe
Neuer,Draxler,Ozil...aisee ww ni kimeo..
Halafu Low anavyomtumia Ozil ni tofauti na akiwa kwa Wenger...Hawa ni watu wawili tofauti ktk sura moja..Sidhani hata kama unazifuatilia mechi za Ujerumani vzr..narudia tena ww ni kimeo..
 
Kuna vilaza kama Leon gortzerka,Julian hakuwa na consistance PSG,Mario Gomez ,
Hawa wote hadi mesuit ozil sane msimu huu kapiga mpira mkubwa mno kuwapita wote
Mzee Baba Usimzungumzie kabisa huyo mtaalamu Leon Goretzka,katika klabu anaweza asiwe vizuri ila timu ya taifa kazi yake ni nzuri katika kikosi cha kwanza national timu simuachi kabisa
 
daah..

mchezaji anayeanza panga pangua kwenye timu bingwa england hapati namba national team.

anyways mi naona kocha kaamua kuendelea na anachokiamini, anaamini ozil aliyezingua arsenal na wengineo ambao hawakuwa na msimu mzuri wanaweza kuwika zaidi ya sane ambaye ameupiga mwingi zaidi
Niambie playmaker anaeweza chukua nafasi ya Ozil national team,Ozil is indispensable national team
 
Mzee Baba Usimzungumzie kabisa huyo mtaalamu Leon Goretzka,katika klabu anaweza asiwe vizuri ila timu ya taifa kazi yake ni nzuri katika kikosi cha kwanza national timu simuachi kabisa
Tuone kama atapangwa
 
Chama cha soka cha Nigeria kimepelea maombi ya kumuomba sane akubali kuchezea Nigeria this world cup.

Wanasubiri majibu.
 
Ana asili ya Cameroon.. sasa atachezaje Nigeria??? Au unafikir wanacheza tu timu wanazojisikia..hizi si klabu mzee baba
 
Wewe ndio hujaelewa...umedandia tu kwa kujibu ili na wewe uwe wa kwanza kujibu.

Iko hivi, Nigeria walitaka kumpa uraia kama wao ili aupige timu yao. Kama Origi mjaluo alivyopewa uraia na Belgium.
 
Kwani huyu euro na mechi za kirafiki zilizo kwenye kalenda ya fifa si alishacheza? Hiko chama cha soka mbumbumbu tu
 
Wewe ndio hujaelewa...umedandia tu kwa kujibu ili na wewe uwe wa kwanza kujibu.

Iko hivi, Nigeria walitaka kumpa uraia kama wao ili aupige timu yao. Kama Origi mjaluo alivyopewa uraia na Belgium.
Origi kazaliwa Belgium na kaishi humo karibia kipindi chote hadi anaanza kucheza soka hivyo ni kama pure mbelgiji....Sane hana relation yoyote na Nigeria.. mshua ake mcameroon na mamake mjerumani..kazaliwa na kukulia German..hivyo he can only play for two teams;Cameroon and German.. usipende udakuudaku jomba..
 
Sio sawa kumuacha huyu dogo, isiwe eti kwasababu ni ulaya basi tuone kila kitu wanachofanya kwenye soka ni sahihi.. huyu dogo kaupiga mwingi sana msimu huu.. alistahili kabisa huyu dogo.
 
Kocha ni mnafiki binafisi nimemuona sane baada ya kuwa anaingia national team EURO iliyopita sasa anaposema hafit mfumo nakuwa simuelewi

Kwenye club anafiti lakini kwa wakubwa hafiti, ebu niambie umtoe nani pale umuingize lucky dube? Ujerumany imetimia kila idara, so tumuache kocha afanye kazi yake.
 
Back
Top Bottom