Corticopontine
JF-Expert Member
- Sep 20, 2019
- 666
- 1,277
Kwa Mjibu wa Shirika linaloangaza utekelezwaji wa haki za binadamu Duniani limemtaja Rais Magufuli kama mtetezi wa vitendo wa haki za binadamu huku likijikita kwenye ushahidi wa vipengele vifuatavyo
RUSHWA: Katika Serikali na chama, Magufuli amejipambanua kwa vitendo kuwa havumilii Rushwa ba ufisadi amepambana na Rushwa kwa vitendo sote tunajua kwamba Rushwa ikiota mizizi huwa inashusha thamani ya utu wa MTU, kwenye mapambano ya Rushwa kuna makundi yameathirika kwa manufaa chanya na kundi limeumia yaani kundi la mafisadi ambao ni wachache sna na hili limejumuisha ufanisi kwa ujumla kwani walio wengi wamenufaika na kuleta hali ya utulivu kwenye jamii
.
Faida za kupambana na Rushwa matunda yake ni pamoja na kuwabana wakwepa kodi kubwa kubwa hii imepelekea Serikali kuacha kukimbizana na wamachinga na mamantilie kwani wanajihisi kuheshimiwa na kuthaminiwa ndani ya nchi yao manyanyaso waliyoyapitia ya kupigwa mabomu kuchuliwa bidhaa zao kiholela yamekoma hao nao ni binadamu watetezi wa haki za binadamu waangalie mafanikio kwenye hili wampe Credit Rais Magufuli kwani nchi imetulia watanzania wanaheshimiana sana kwa sasa kwani kauli za unanijua Mimi hazipo tena
Mapambano dhidi ya Rushwa yameogeza budget ya Serikali kutoka billioni 800 kwa mwezi mpaka zaidi ya trillion 1.4 faida za ongezeko hili ni kuimarisha huduma za kijamii kwa mfano elimu bure zaidi ya billioni 20 zinatolewa kila mwezi kwa ajili ya kugharimia elimu ya msingi na sekondari bure. Watu hawa ambao wanalipiwa hizi hela nao nao ni binadamu watetezi wa haki za binadamu mpeni Rais Magufuli Credit zake
Ongezeko la bajeti kumesababisha kujengwa kwa vituo vya afya nchi nzima hospitali zimejengwa za wilaya na Rufaa za kutosha haki za binadamu litazameni hilo hao wanaoenda kutibiwa ni binadamu mpeni Rais Magufuli Credit zake
Uimarishaji wa miuondombinu kwa mfano utekelezaji wa Megaprojects kama NYERERE HEP, SGR, SALENDER BRIDGE, FLYOVER, MGR MAINTAINANCE, BUSISI BRIDGE, KUFUFUA ATCL, TTCL, TRC, AIRTEL, GEPG, TWIGA MINERAL PROCESSING COMPANY LIMITED hizi ni injini za kuchochea ukuaji wa uchumi yaani ni mishipa ya damu katika kuchochea ukuaji wa Uchumi.