Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sie tulikuwa na Philips radio na turntable. Mpaka leo ipo. ila sina hakika iwapo turntable inafanya kazi. Nakumbuka tunachukua LP ya 33rpm na kuipiga kwa speed ya 45rpm. Baba anafoka.
Marvin Gay,sunglasses.Bumping na kavasha vitakukoma bila kusahau masista du kibao.Kiongozi, unakumbuka Killing me softly,kitu laini saana.Tatu kaka feeling on top of the world
Enzi zetu hizo tulisumbua sana hapa mjini
Hii nyimbo ndio ile inasema Haraka Hewani? Tulicheza na Jamaa yangu mmoja (RIP) tukiwa wadogo, tukaambiwa atakayeshinda atapewa zawadi ya senti 20.Embakasi mpaka leo ujumbe wake haichuji
Tena sana. unanunua ndizi kadhaa na vitu vingine!Ilikuwa hela kubwa mno
Hapo kwa Carl Douglas tuko pamoja mkuu, sijui kama bado hadi Leo unamsikiliza huyo jamaaDuh Umenipeleka mbali sana. Sijui kwa nini nimekumbuka hizi nyimbo mbili Embakasi - Les Mangelepa na Carl Douglas - Kung fu fighting