Santuri! Remembering old Golden days

Santuri! Remembering old Golden days

Sie tulikuwa na Philips radio na turntable. Mpaka leo ipo. ila sina hakika iwapo turntable inafanya kazi. Nakumbuka tunachukua LP ya 33rpm na kuipiga kwa speed ya 45rpm. Baba anafoka.
 
Sie tulikuwa na Philips radio na turntable. Mpaka leo ipo. ila sina hakika iwapo turntable inafanya kazi. Nakumbuka tunachukua LP ya 33rpm na kuipiga kwa speed ya 45rpm. Baba anafoka.

Hapo umewaacha wengi njia panda hizo terminology hazijulikani tena aisee
 
Zilikuwa bomba sana halafu music system ikiwa si ya kawaida basi quality ya nyimbo ilikuwa bomba sana.

Last edited by a moderator:
Marvin Gay,sunglasses.Bumping na kavasha vitakukoma bila kusahau masista du kibao.Kiongozi, unakumbuka Killing me softly,kitu laini saana.

Mnoo kaka kwakweli old is truly gold
 
giphy.gif
 
Back
Top Bottom