Santuri! Remembering old Golden days

Santuri! Remembering old Golden days

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
301,577
Reaction score
754,412
1407421887930.jpg
 
If only I could turn back the time
 
"... iiii nakolele zaina eee x2

Zaina mobali na bandeko ya motema eee, ooo mamaaa"...

Da nimekumbuka enzi za kufichiwa "sindano"

Lakini vivyo hivyo nilicheza santuri japo kwa sauti ya 'kuisikilizia'

Watanielewa wakongwe tu.
 
mkuu kufichiwa sindano kivipi
 
mkuu kufichiwa sindano kivipi

'Baba zetu' walikuwa watunzaji sana wa vitu vyao, iwe redio, kurunzi, gobole nk...

Shelfu za vitabu utafikiri askari wa Hitla!

Hawakutuamini sana 'watoto' wao (japo tungeweza kuaminika)

'Sindano' ni pin fulani inayogusa santuri inapozunguka na kutoa sauti muafaka...

Walikuwa wanadhani tutaharibu 'player' zao wasipo itoa nakuficha ili tusifungulie (tusicheze) santuri.

Tena kama ni chenja (changer) ndiyo kabisaaa!
 
"... iiii nakolele zaina eee x2

Zaina mobali na bandeko ya motema eee, ooo mamaaa"...

Da nimekumbuka enzi za kufichiwa "sindano"

Lakini vivyo hivyo nilicheza santuri japo kwa sauti ya 'kuisikilizia'

Watanielewa wakongwe tu.

Duu mpaka nimesisimka kweli kabisa dingi akiondoka anaficha sindano!(laser ya siku hizi) unabaki na limashine tuu
 
'Baba zetu' walikuwa watunzaji sana wa vitu vyao, iwe redio, kurunzi, gobole nk...

Shelfu za vitabu utafikiri askari wa Hitla!

Hawakutuamini sana 'watoto' wao (japo tungeweza kuaminika)

'Sindano' ni pin fulani inayogusa santuri inapozunguka na kutoa sauti muafaka...

Walikuwa wanadhani tutaharibu 'player' zao wasipo itoa nakuficha ili tusifungulie (tusicheze) santuri.

Tena kama ni chenja (changer) ndiyo kabisaaa!

hahaha aisee asantee kwa somo duuh mliinjoy sana
 
Duu mpaka nimesisimka kweli kabisa dingi akiondoka anaficha sindano!(laser ya siku hizi) unabaki na limashine tuu
Umenirudisha mbali tena kwa neno DINGI. Je asili yake ni vipi? Sie tulikuwa na senior brother tunamwita mpaka sasa (between ourselves) dingi mdogo ingawa wote tuko mababu tiyari. Alikuwa hodari sana kwa makwenzi. Na mpaka sasa hajui kuwa dingi mdogo ni yeye. Or may be he knows?
 
Back
Top Bottom