Sarafu mpya yazinduliwa Kenya! Ipo sarafu ya shilingi moja

Ingekua Tanzania, wabongo wangesema sababu uchumi umeporomoka
 
Na sisi tumuweke marijani raajabu kwenye noti...jabali la muziki Afrika
 
Uzuri wa sarafu yoyote ile ni kwenye thamani yake tu, hongera zao naona wenzetu noti kubwa ni 1000, sijui sawa na shilingi ngapi za Tanzania kwa mnaojua.
1000 yao nilibadilisha Namanga mwezi wa 4 ilikua elf 22 za kiTanzania
 
Naona Kenyata hajaweka sura yake ila fidodido najua lazima aweke Komwe lake tu!
 
Kuweka Picha za wanyama wametuiga sisi Tanzania
 
Uzuri wa sarafu yoyote ile ni kwenye thamani yake tu, hongera zao naona wenzetu noti kubwa ni 1000, sijui sawa na shilingi ngapi za Tanzania kwa mnaojua.

Ni kama elfu ishirini na ushei ya TZ
 
Uzuri wa sarafu yoyote ile ni kwenye thamani yake tu, hongera zao naona wenzetu noti kubwa ni 1000, sijui sawa na shilingi ngapi za Tanzania kwa mnaojua.
Sawa na TZS 22500
 
Uzuri wa sarafu yoyote ile ni kwenye thamani yake tu, hongera zao naona wenzetu noti kubwa ni 1000, sijui sawa na shilingi ngapi za Tanzania kwa mnaojua.
24,000
 
hapa ndipo huwa tunawaambia watu CCM ni cancer inayotutafuna polepole ,watu hawaelewi,kenya bado wanatumia note za shilling 50

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…