Sarafu ya China, Yuan haitachukua nafasi ya dola ya Marekani kama sarafu ya akiba duniani.

Nafikiri wengi walishaacha kufikiria huo ujinga, ile ilikuwa ni mihemko ya vita tu.
 
Ni hivi karibuni au ni kwa muda wote wa sasa na ujao ?
Kama China haitabadili mfumo wa siasa zake inahitaji miujiza sarafu yake kuwa world's reserve currency. Hata matajiri wa China wanaona salama zaidi kuhifadhi akiba zao kwa dolla za kimarekani kuliko Yuan.
 
Wazibadili ziweje ?
 
Back
Top Bottom