Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umemaliza kila kitu uzi ufungweWw kigagura wa ccm una nini cha kuwashauli wairan?
Kwani tangu sh ianze kupanda dhidi ya dora ni kipi kilicho badilika kwenye maisha ya kila siku ya Mtz?
Thamani ya fedha kushuka dhidi ya sarafu za kigeni hakuna mahusiano yeyote na kushuka kwa uchumi bali huwa inashababisha mfumko wa bei hasa iwapo nchi hiyo itakuwa tegemezi wa bidhaa kutoka nje.
Kupanda kwa dora hakuwaathiri moja kwa moja raia waliko ndani ya Iran kwa sababu bidhaa nyingi wanazo tumia ndani ya nchi hiyo zinatokana na viwanda vyao wenyewe na bidhaa zinazo toka nje kwa wingi hasa chakula serikali inazilipia ruzuku , usidhani Iran ni kama nchi yako ambayo mpaka chupi inategemea kuagiza china.
Pia Iran haina madeni kwenye mabenki ya kimagharibi ambayo ingehitaji dora kuyalipa.
Ila hii itawaimiza wairan wenyewe uraia pacha ambao wana safiri safiri sana.
Pesa ya Zambia ina thamani mara tano ya pesa ya S.korea na Japan sasa niambie zambia ina nini za cha maana zaidi ya njaa na umasikini?
Hela ya Iran haina thamani ila raia wa Iran hawajui mgao wa umeme,maji ,wana elimu bora,miundo mbinu ya kisasa,wana sekta kubwa ya viwanda ,wana sekta bora ya afya.
Wakati Tz ambayo fedha yake ina thamani mara 10 ya Iran lakini haina hata kipaumbele chochote kama taifa inajiendea tu kama gari bovu.
Hicho ndo kipimo halisi cha kukuonesha kuwa thamani ya fedha nchi haina mahusiano yeyote na maendeleo husika.Kit
Kitu gan kinawafanya Zambia wawe na maisha magumu wakati pesa yao ina thaman? Wachumi wanasemaje juu ya hili
Ww ndo unatakiwa urudi shule.Rudi shule tena Immam wangu
Kuzipata moja kwa moja kutoka Iran ni ngumu kwa sababu mabenki ya Iran na mifumo ya kufanya miamara ya Iran ilisha ondolewa kwenye mfumo wa SWIFT baada ya kuwekewa vikwazo na nchi za Magharibi.Bidhaa gan ambazo naweza fuata Iran na nikija nazo hapa Tanganyika nitapiga pesa?
Dah pole yake sanaKuzipata moja kwa moja kutoka Iran ni ngumu kwa sababu mabenki ya Iran na mifumo ya kufanya miamara ya Iran ilisha ondolewa kwenye mfumo wa SWIFT baada ya kuwekewa vikwazo na nchi za Magharibi.
Iran inauza bidhaa nyingi kupitia mawakala kutoka nchi nyingine ili kukwepa vikwazo mfano unaweza kununua pasi imeandikwa made in Thailand kumbe imetengenezwa nchini Iran.
Na wasambazaji wakubwa wa bidhaa za Iran ni Iraq na UAE na Uturuki ,hivyo unaweza kuta hata bidhaa hizi ambazo waturuki wanazo zunguka wana kopesha watu zimetengenezwa nchini Iran nyinyi mnadhani zimetokea Uturuki.
Japo kuna nchi ambazo ana uza bidhaa zake moja kwa moja hasa zile nchi kubwa kubwa ambazo zina njia mbadala za malipo na pia hazibabaishwi na kelele za wamagharibi.
Kwenye ndege huruhusiwi kupanda na kiasi kikubwa cha fedha.D
Dah pole yake sana
Kwanini kaamua kujiumiza namna hiyo sasa
Niliwaza labda unainuka na dollar zako unaingia moja kwa moja kwa Tehran unakuja na baibui zako hapa bongo unajipigia hela tu
Maisha mazur Iran ipi jombaaIran wala hana time ya kulinganisha sarafu yake na dola, maisha Iran mazuri kuliko tanganyika
Huko kwenu kuna Iran ngapi?Maisha mazur Iran ipi jombaa
Nakushangaa unaposema maisha iran ni mazur sijui unalinganisha na nchi ganHuko kwenu kuna Iran ngapi?
31% ya Wairan wanaishi kwenye umaskini wa kupindukia, beloŵ poverty line.Iran wala hana time ya kulinganisha sarafu yake na dola, maisha Iran mazuri kuliko tanganyika
Na nchi yako ambayo thamani ya sarafu dhidi ya dola ni juu kuliko ya Iran,au tanganyika kuna maisha mazuri kuzidi Iran?..nchi gani ya africa ina maisha mazuri kuliko Iran?Nakushangaa unaposema maisha iran ni mazur sijui unalinganisha na nchi gan
Kwa mujibu wa benki ya wamarekani iitwayo world Bank au imf?31% ya Wairan wanaishi kwenye umaskini wa kupindukia, beloŵ poverty line.
Kwani huko Marekani ambao ndo wamiliki wa hiyo dora hakuna masikini?31% ya Wairan wanaishi kwenye umaskini wa kupindukia, beloŵ poverty line.
Kasema naniIran wala hana time ya kulinganisha sarafu yake na dola, maisha Iran mazuri kuliko tanganyika
Mkuu una matusi omba radhi tu... aina ya mtu kama mimi huwa napenda zaidi ukweli na sio kujifurahisha, Iran sio mimi niliyoishauri bali walishauliwa na wazungu na wangefuata huo ushauri ungewaweka pazuri sana kimaendeleo. usione majigambo kuna msuguano sana kwao na hawapendi hata kusikia nchi inapoteza billions of dollars kwa issue za ugaidi. news zipoWw kigagura wa ccm una nini cha kuwashauli wairan?
Tafuta brain sehemu wanauza ununue zikae kwenye bongo lako... your so naive.. Tz Tokea Jiwe avuruge hadi leo hazijakaa sawa.. Mafuta ya gari na malighafi ulikuwa unanua kiasi gani miaka mitano iliyopita?Kwani tangu sh ianze kupanda dhidi ya dora ni kipi kilicho badilika kwenye maisha ya kila siku ya Mtz?
Hakuna nchi isiyo tegemezi kwa bidhaa za nje ya nchi husika yaani hakuna.. kwa sababu huna akili wacha nikupashe.. Nguo lazima ununue Pamba nje ya nchi hata kama kwako unazo kwa kuwa lengo lako ni maendeleo na kushika soko lazima uagize so curency ya kimataifa ni Dollar so kama dollar ikiwa juu basi utajikuta umeagiza pamba kwa bei juu ili upate faida lazima uuze nguo bei juu, atahri ni chain nzima ununuzi hadi familia yako kipato chako kinapungua kwa sababu ya manunuzi yamepanda hadi mwenye nyumba nae anapandisha kodi, mwenye bus anaongeza nauli.. any way kasome uchimu naona everone akikusoma anakucheka.Thamani ya fedha kushuka dhidi ya sarafu za kigeni hakuna mahusiano yeyote na kushuka kwa uchumi bali huwa inashababisha mfumko wa bei hasa iwapo nchi hiyo itakuwa tegemezi wa bidhaa kutoka nje.
Use akili mr mjinga, viwanda vinahitaji malighafi even Neucler inahitaji Uranium from Africa n.k Nguo inataka pamba,Chuma wanayo,Viwanda vyenyewe ni from other country haswa Siemens from Germany, asikudanganye mtu ukisikia Iran wanalamika vikwazo vinagusa kila nyanja, Iran hawana wafanyalo zaidi ya importationKupanda kwa dora hakuwaathiri moja kwa moja raia waliko ndani ya Iran kwa sababu bidhaa nyingi wanazo tumia ndani ya nchi hiyo zinatokana na viwanda vyao wenyewe
Kiwango chako cha akili ndio kimekufanya uje na wazo la ki low IQna bidhaa zinazo toka nje kwa wingi hasa chakula serikali inazilipia ruzuku , usidhani Iran ni kama nchi yako ambayo mpaka chupi inategemea kuagiza china.
So umeamua kijicontradict yourself hahahahaha hypocrisy is a sign of stupidity personPia Iran haina madeni kwenye mabenki ya kimagharibi ambayo ingehitaji dora kuyalipa.
Ila hii itawaimiza wairan wenyewe uraia pacha ambao wana safiri safiri sana.
Wajua pesa ya zambia walipunguza zero 3 yaani elfu 1 ikawa kwacha 1 n.k, don't you know it, au kwasababu wewe ni foolish so unaongea ongea tu like upo barazani. Yanni unajitutumua kwa ukilaza.Pesa ya Zambia ina thamani mara tano ya pesa ya S.korea na Japan sasa niambie zambia ina nini za cha maana zaidi ya njaa na umasikini?
Hahaha Juzi tu mgao uliwapitia hahahaha na nilileta thread hapa jf.Hela ya Iran haina thamani ila raia wa Iran hawajui mgao wa umeme,
maji ,wana elimu bora,miundo mbinu ya kisasa,wana sekta kubwa ya viwanda ,wana
Secta ya afya unaongea huku umebana pua nini?sekta bora ya afya.
Hapa ni ujinga ndio maana Lowasa alitaka Elimu Elimu Elimu.. na wewe unahitaji elimuWakati Tz ambayo fedha yake ina thamani mara 10 ya Iran lakini haina hata kipaumbele chochote kama taifa inajiendea tu kama gari bovu.
Muongo mmoja mnaleta mambo kwa mihemko kama ww analyses je irani ni maskini kuliko bongo au jee leo ndio mwanzo wa vikwazo au umejia leo irani yupo under critical embargo ukishakujua hayo hata hiki usingekiandika maana kama 40 yrs and above inakuaje unashtuka mda huu kama hela yake imeshuka mbona yupo hv miaka yote je ilipanda against who??Duuuh,, naona hata Zimbabwe ya Mugabe haikufikia huko. Wajipange, si wana mafuta