Ww kigagura wa ccm una nini cha kuwashauli wairan?
Mkuu una matusi omba radhi tu... aina ya mtu kama mimi huwa napenda zaidi ukweli na sio kujifurahisha, Iran sio mimi niliyoishauri bali walishauliwa na wazungu na wangefuata huo ushauri ungewaweka pazuri sana kimaendeleo. usione majigambo kuna msuguano sana kwao na hawapendi hata kusikia nchi inapoteza billions of dollars kwa issue za ugaidi. news zipo
Kwani tangu sh ianze kupanda dhidi ya dora ni kipi kilicho badilika kwenye maisha ya kila siku ya Mtz?
Tafuta brain sehemu wanauza ununue zikae kwenye bongo lako... your so naive.. Tz Tokea Jiwe avuruge hadi leo hazijakaa sawa.. Mafuta ya gari na malighafi ulikuwa unanua kiasi gani miaka mitano iliyopita?
Thamani ya fedha kushuka dhidi ya sarafu za kigeni hakuna mahusiano yeyote na kushuka kwa uchumi bali huwa inashababisha mfumko wa bei hasa iwapo nchi hiyo itakuwa tegemezi wa bidhaa kutoka nje.
Hakuna nchi isiyo tegemezi kwa bidhaa za nje ya nchi husika yaani hakuna.. kwa sababu huna akili wacha nikupashe.. Nguo lazima ununue Pamba nje ya nchi hata kama kwako unazo kwa kuwa lengo lako ni maendeleo na kushika soko lazima uagize so curency ya kimataifa ni Dollar so kama dollar ikiwa juu basi utajikuta umeagiza pamba kwa bei juu ili upate faida lazima uuze nguo bei juu, atahri ni chain nzima ununuzi hadi familia yako kipato chako kinapungua kwa sababu ya manunuzi yamepanda hadi mwenye nyumba nae anapandisha kodi, mwenye bus anaongeza nauli.. any way kasome uchimu naona everone akikusoma anakucheka.
Kupanda kwa dora hakuwaathiri moja kwa moja raia waliko ndani ya Iran kwa sababu bidhaa nyingi wanazo tumia ndani ya nchi hiyo zinatokana na viwanda vyao wenyewe
Use akili mr mjinga, viwanda vinahitaji malighafi even Neucler inahitaji Uranium from Africa n.k Nguo inataka pamba,Chuma wanayo,Viwanda vyenyewe ni from other country haswa Siemens from Germany, asikudanganye mtu ukisikia Iran wanalamika vikwazo vinagusa kila nyanja, Iran hawana wafanyalo zaidi ya importation
na bidhaa zinazo toka nje kwa wingi hasa chakula serikali inazilipia ruzuku , usidhani Iran ni kama nchi yako ambayo mpaka chupi inategemea kuagiza china.
Kiwango chako cha akili ndio kimekufanya uje na wazo la ki low IQ
Pia Iran haina madeni kwenye mabenki ya kimagharibi ambayo ingehitaji dora kuyalipa.
Ila hii itawaimiza wairan wenyewe uraia pacha ambao wana safiri safiri sana.
So umeamua kijicontradict yourself hahahahaha hypocrisy is a sign of stupidity person
Pesa ya Zambia ina thamani mara tano ya pesa ya S.korea na Japan sasa niambie zambia ina nini za cha maana zaidi ya njaa na umasikini?
Wajua pesa ya zambia walipunguza zero 3 yaani elfu 1 ikawa kwacha 1 n.k, don't you know it, au kwasababu wewe ni foolish so unaongea ongea tu like upo barazani. Yanni unajitutumua kwa ukilaza.
24 january 2012
Zambia to remove three zeros from denominations of K1000 notes and above
Lusaka, Zambia (PANA) – The Zambian government has announced that it will remove three zeros from the denominations of the K1,000 Kwacha notes and above.
In a press statement, Finance and National Planning Minister Alexander Chikwanda disclosed that the Cabinet had approved the rebasing of the Zambian Kwacha by dividing the current notes by 1,000 and also reintroducing coins for lower value denominations.
“For example, K1,000 will be K1; K5,000 will become K5; K10,000 will become K10; K20,000 will become K20; and K50,000 will become K50,” the Finance minister said.
He said a rebased Zambian Kwacha will address the costs associated with an accumulated loss in the value of the Kwacha experienced during episodes of high inflation that undermined Kwacha’s basic function as a store of value, medium of exchange and standard of value.
“In the accounting sphere, re-denomination of the Kwacha will reduce time taken to input financial data and time spent by management to review it. It will also reduce the cost often incurred in customizing standard accounting packages that are purchased by businesses,” he said.
Currently, US$ 1 = K5,000. The highest denomination is K50,000.
Hela ya Iran haina thamani ila raia wa Iran hawajui mgao wa umeme,
Hahaha Juzi tu mgao uliwapitia hahahaha na nilileta thread hapa jf.
Iran shuts down schools and businesses as energy crisis deepens
Dec 16, 2024, 19:47 GMTUpdated 8:20 PM
VOA Persian: Iran faces energy crisis with widespread closures, fuel shortages
Energy deficit forces Iran's government to shut down offices
Chezea vikwazo wewe.
maji ,wana elimu bora,miundo mbinu ya kisasa,wana sekta kubwa ya viwanda ,wana
Iran sanctions disrupt medicine supplies Published 24 November 2012
Iran: Over-compliance with unilateral sanctions affects thalassemia patients say UN experts
14 February 2023
Secta ya afya unaongea huku umebana pua nini?
Wakati Tz ambayo fedha yake ina thamani mara 10 ya Iran lakini haina hata kipaumbele chochote kama taifa inajiendea tu kama gari bovu.
Hapa ni ujinga ndio maana Lowasa alitaka Elimu Elimu Elimu.. na wewe unahitaji elimu