Sarah Baartman: Mwanamke mweusi kutoka Afrika Kusini aliyesafirishwa Ulaya kwa maonesho ya makalio makubwa

Hahahaha!!

Alichorwa kama chombo cha starehe, na kuwaingizia watu vipato kwa kumfanya kama maonyesho.
 
Saartjie (Sara) Baartman alikuwa mmoja wa wanawake wa kwanza weusi wanaojulikana kuteswa na biashara haramu ya ngono. Alipewa jina la dhihaka "Hottentot Venus" na wazungu kwani mwili wake ulichunguzwa hadharani na kufichuliwa kinyama katika muda wote wa maisha yake ya ujana. Ukubwa wa makalio yake ndio kilikua kivutio kikubwa kwa wazungu.

Sara Baartman alizaliwa mwaka 1789 katika Mto Gamtoos, sasa unajulikana kama Rasi ya Mashariki nchini Afrika Kusini. Baartman na familia yake walikuwa washiriki wa kikundi cha Gonaquasub cha Khoikhoi. Baartman alikulia kwenye shamba la kikoloni ambapo yeye na familia yake kuna uwezekano mkubwa walifanya kazi kama watumishi. Mama yake alikufa akiwa na umri wa miaka miwili na babake, ambaye alikuwa dereva wa mifugo, alikufa akiwa bado msichana mdogo.

Kufikia miaka yake ya ujana Baartman aliolewa na mwanamume wa Khoikhoi ambaye alikuwa mpiga ngoma. Walikuwa na mtoto pamoja ambaye alikufa muda mfupi baada ya kuzaliwa. Wakati Baartman alikuwa na umri wa miaka kumi na sita, mumewe aliuawa na wakoloni wa Uholanzi. Muda mfupi baadaye, aliuzwa utumwani kwa mfanyabiashara aitwaye Pieter Willem Cezar, ambaye alimpeleka Cape Town ambako alikua mtumwa wa nyumbani wa kaka yake, Hendrik. Mnamo Oktoba 29, 1810, ingawa hakuweza kusoma, Baartman mwenye umri wa miaka 21 alidhani alisaini mkataba na William Dunlop, daktari, ambaye alikuwa rafiki wa ndugu wa Cezar.

Mkataba huu ulimhitaji kusafiri na akina Cezar na Dunlop hadi Uingereza na Ireland ambapo angefanya kazi kama mtumishi wa nyumbani kwa vile kitaalamu utumwa ulikuwa umekomeshwa nchini Uingereza. Zaidi ya hayo, angeonyeshwa kwa madhumuni ya burudani. Baartman angepokea sehemu ya mapato kutokana na maonyesho yake na angeruhusiwa kurejea Afrika Kusini baada ya miaka mitano. Walakini, mkataba ulikuwa wa uwongo kwa maelezo yote na utumwa wake uliendelea kwa maisha yake yote
Baartman alionyeshwa kwa mara ya kwanza London katika Ukumbi wa Misri kwenye Circus ya Piccadilly mnamo Novemba 24, 1810. Jinsi alivyokuwa treated hadharani, hata hivyo, ulivuta hisia za wakomeshaji wa utumwa ambao waliwashtaki Dunlop na Cezars kwa kumshikilia Baartman bila ya mapenzi yake. Mahakama ilitoa uamuzi dhidi ya Baartman baada ya Pieter Cezar kutoa mkataba ambao ulikuwa umetiwa saini na Baartman. Baartman pia alishuhudia kwamba hakuwa akidhulumiwa au kuwa treated vibaya.

Baada ya kesi ya Baartman, Umaarufu wake uliongezeka na alizidi kufanya ziara za maonyesho ya makalio yake kwenye nchi tofauti barani Ulaya.

Mnamo Septemba 1814, baada ya kukaa miaka minne huko Uingereza, Baartman alipelekwa Ufaransa na kuuzwa kwa S. Reaux, mtangazaji ambaye alionyesha wanyama. Aliweka Baartman kwenye maonyesho ya umma ndani na karibu na Paris, mara nyingi kwenye Palais Royal. Pia alimruhusu kunyanyaswa kingono na walinzi waliokuwa tayari kulipa unajisi wake. Reaux alipata faida kubwa kwa sababu ya kuvutiwa kwa umma na mwili wa Baartman hususani makalio yake.

Sara Saartjie Baartman alifariki mjini Paris mnamo Desemba 29, 1815 akiwa na umri wa miaka 26. Inakisiwa kwamba alikufa kwa kifua kikuu au kaswende. Hata baada ya kifo chake, sehemu nyingi za mwili wake zilionyeshwa kwenye Makumbusho ya l’Homme (Makumbusho ya binanadamu), huko Paris ili kuunga mkono nadharia za ubaguzi wa rangi kuhusu watu wa asili za Kiafrika. Baadhi ya sehemu za mwili zilibaki kwenye maonyesho hadi 1974.
Mnamo 1994 Rais wa Afrika Kusini Nelson Mandela aliomba rasmi kwamba mabaki ya Baartman yarudishwe Afrika Kusini. Mnamo Machi 6, 2002, mabaki yake yalirudishwa na kuzikwa huko Hankey katika Jimbo la Eastern Cape.
 
Hawa majamaa ni zaidi ya mbwa
Sio watu kabisaa, mashetani
 
Lakini inasemekana naye alipenda alivyokuwa anafanyiwa.Wanadai alikuwa na labio manora refu kama nini.Wazungu walikuwa wanalipa pesa ili kuishika na kuichezea.Hakika binadamu ni kiumbe wa ajabu Sana.
 
Hawa majamaa ni zaidi ya mbwa
Sio watu kabisaa, mashetani
Leo hii tunawaita mbwa kwa vitendo walivyo mfanyia Sarah, mtumwa walie mnunua nakusainishwa mkataba wa kilaghai.

Je na kwa Hawa wanao jipeleka kwao,Tena wakati mwingine wanapita njia za hatari , ikiwemo kupazwa kwenye boti mbovu Zinazo wazamisha baharini , nao tutasema walidhurumiwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Who was Sarah Baartman?





Saartjie (Sara) Baartman was one of the first black women known to be subjugated to human sexual trafficking. She was derisively named the “Hottentot Venus” by Europeans as her body would be publicly examined and exposed inhumanly throughout the duration of her young life. Moreover. her experience reinforced the already existing and extremely negative sexual fascination with African women bodies by the people of Europe.

Sara Baartman was born in 1789 at the Gamtoos River, now known as the Eastern Cape in South Africa. Baartman and her family were members of the Gonaquasub group of the Khoikhoi. Baartman grew up on a colonial farm where she and her family most likely worked as servants. Her mother died when she was aged two and her father, who was a cattle driver, died when she was still a young girl.

By her teenage years Baartman married a Khoikhoi man who was a drummer. They had a child together who died shortly after birth. When Baartman was sixteen, her husband was murdered by Dutch colonists. Soon after, she was sold into slavery to a trader named Pieter Willem Cezar, who took her to Cape Town where she became a domestic slave to his brother, Hendrik. On October 29, 1810, although she could not read, 21-year-old Baartman supposedly signed a contract with William Dunlop, a physician, who was a friend of the Cezar brothers.

This contract required her to travel with the Cezar brothers and Dunlop to England and Ireland where she would work as a domestic servant since technically slavery had been abolished in Great Britain. Additionally, she would be exhibited for entertainment purposes. Baartman would receive a portion of earnings from her exhibitions and would be allowed to return to South Africa after five years. However, the contract was false on all details and her enslavement continued for the remainder of her life.

Baartman was first exhibited in London in the Egyptian Hall at Piccadilly Circus on November 24, 1810. Her public treatment, however, quickly drew the attention of British abolitionists who charged Dunlop and the Cezars with holding Baartman against her will. The court ruled against Baartman after Pieter Cezar produced the contract that had been signed by Baartman. Baartman also testified that she was not being mistreated.

The publicity generated by the court trial increased Baartman’s popularity as an exhibit. She was taken on tours throughout England and by 1812 as far away as Limerick, Ireland.

In September 1814, after staying four years in Great Britain, Baartman was taken to France and sold to S. Reaux, an exhibitor who showcased animals. He put Baartman on public display in and around Paris, often at the Palais Royal. He also allowed her to be sexually abused by patrons willing to pay for her defilement. Reaux garnered considerable profit due to the public’s fascination with Baartman’s body.






Sara Saartjie Baartman died in Paris on December 29, 1815 at the age of 26. It is speculated that she died of tuberculosis or syphilis. Even after her death, many of her body parts would go on display at the Musée de l’Homme (Museum of Man), in Paris to support racist theories about people of African ancestry. Some of the body parts remained on display until 1974.





In 1994 South African President Nelson Mandela formally requested that Baartman’s remains be returned to South Africa. On March 6, 2002, her remains were returned and buried at Hankey in the Eastern Cape Province.

Kindly upvote this so that lots of people can see it.

Refrences:
 
wachangaji mbona hawapo au kwa kuwa mzungu ni sehemu yao? ebu weke uzuli wewete hule wa muarabu uone watakavio shuka kuponda hatakama utakuwa ukweli
 
White women are always skinny and black women are always pudgy and curvy.
 
Karne mbili zilizopita Sarah Baartman alifariki baada ya kuishi akifanya "maonyesho ya vituko ". Sasa tetesi kwamba kuna uwezekano wa kutengenezwa kwa filamu ya Hollywood inayohusu maisha ya Baartman zimeibua utata.


Sarah Baartman alifariki dunia tarehe 29 Disemba 1815, lakini maonyesho yake yakaendelea
Ubongo wake, mifupa, na viungo vyake vya uzazi viliendelea kuoneshwa katika jumba la makumbusho ya Paris hadi mwaka 1974. Masalia yake hayakuwahi kuhamishwa na kuzikwa mpaka ilipofika mwaka 2002.


Aliletwa Ulaya kwa njia za madai ya uongo na daktari Muingereza , akiitwa kwa jina la jukwani "Hottentot Venus", ambapo alioneshwa katika kumbi za "maonyesho ya vituko" mbali mbali katika miji ya London na Paris, huku umati wa watu ukialikwa kuyaangalia makalio yake makubwa.





Lakini sasa anaangaliwa na wengi kama kielelezo cha unyonyaji wa kikoloni na ubaguzi wa rangi, kejeli na utumiwaji wa watu weusi kama vyombo.
Taarifa kwamba Beyonce anapanga kuandika na kucheza katika filamu kuhusu Baartman zilikanushwa na wawakilishi wa mwanamuziki huyo. Lakini minong'ono ilikuwa tayari imesababisha hofu ya kutosha.


Jean Burgess, chifu kutoka kikundi cha Khoikhoi ambacho ndicho alichotoka Baartman , alidai kuwa Beyonce alikosa "utu wa kimsingi wa binadamu kuweza kuwa na thamani ya kuandika hadithi ya Sarah, mbali na kucheza filamu kama Sarah ".

Lakini Jack Devnarain, mwenyekiti wa Shirikisho la wachezaji filamu wa Afrika Kusini alisema kuwa watengenezaji wa filamu walikuwa na ''haki ya kuelezea hadithi za watu unaopata kuwa wanavutia na hilo ndio tunapaswa kuwa waangalifu na hilo".
Hata katika kukanusha kuhusika katika filamu, alisema mwakilishi wa Beyonce : "Hii ni hadithi muhimu ambayo inaweza kuelezewa."



Maisha ya Baartman yalikuwa ni moja ya maisha magumu sana.
Inadhaniwa kuwa alizaliwa katika jimbo la Afrika Kusini la Eastern Cape mwaka 1789, mama yake alifariki dunia alipokuwa na umri wa miaka miwili na baba yake, mfugaji, alifariki alipokuwa katika umri wa kubalehe.


Aliingia katika utoaji wa huduma za nyumbani mjini Cape Town baada ya mkoloni Mholanzi kumuua mwenza wake, ambaye alikuwa tayari amezaa naye mtoto ambaye alikufa.

Mwezi Oktoba 1810, ingawa hakuwa amesoma, Baartman alidai kuwa alisaini mkataba na daktari wa upasuaji wa meli ya Uingereza William Dunlop na mjasiriamali chotara Hendrik Cesars, ambaye alimfanyia kazi kama kijakazi, akisema alisafiri kwenda Uingereza kushiriki katika maonyesho.
Haya yalimfanya asababishe mvuto wakati alipokuwa akifanya onyesho katika eneo la Piccadilly Circus jijini London baada ya kuwasili.


"Unapaswa kukumbuka hilo, wakati ule ,ilikuwa ni kitu kilichokuwa kwenye fasheni na kupendwa kwa wanawake kuwa na makalio makubwa, kwa hiyo watu wengi walimuonea wivu kwa kile alichokuwa nacho cha asili yake, bila kuongezea umbo lake ," anasema Rachel Holmes, mwandishi wa kitabu cha maisha na kifo cha Bi Baartman-The Hottentot Venus: The Life and Death of Saartjie Baartman.

Jukwaani alivaa nguo ya kubana mwili wake ( skin-tight) yenye rangi, pamoja na shanga na manyoya na alikuwa akivuta tumbaku. Wateja matajiri walikuwa wanalipa pesa zao kwa ajili ya kuburudishwa kibinafsi majumbani mwao, huku wageni wakiruhusiwa kumgusa.


Kuwasili kwake nchini Uingereza kulitokea wakati kukiwa na tetesi juu ya iwapo Lord Grenville na muungano wake Whigs - wanaofahamika kama "makalio mapana" kwasababu ya ukubwa wa nyuma wa Grenville- wangejaribu kuiteka serikali . Hii ilikuwa ni zawadi kwa wachoraji wa vibonzo.


Katuni moja, iliyokuwa na kichwa cha habari-A Pair of Broad Bottoms, iliwaonesha Grenville na Baartman wakiwa wamesimama mmoja nyuma ya mwingine, huku mtu mwingine akipima ukubwa wa makalio yao.



Mapromota wa Baartman walimpatia jina la bandia "Hottentot Venus", huku "hottentot" - sasa ikionekana kama udhalilishaji- wakati ule likitumiwa na Waholanzi kuelezea makundi ya Khoikhoi na San, ambao kwa pamoja huunda jamii ya watu wanaofahamika kama Khoisan.


Himaya ya Uingereza ilikuwa imezuia biashara ya utumwa katika mwaka 1807, lakini sio utumwa wenyewe. Hata hivyo, wanaharakati walishtushwa na jinsi Baartman alivyotumikishwa London.

Waajiri wake walishitakiwa kwa kumshikilia Baartman kinyume na matakwa yake, lakini hawakuhukumiwa, huku Baartman mwenyewe akitoa ushahidi uliowatetea.

"Swali linasalia-je Baartman alilazimishwa, kama wanaharakati wa haki za binadamu wanavyodai, au alikuwa katika maonyesho hayo kwa hiari?" anasema Christer Petley, mwalimu wa historia katika Chuo kikuu cha Southampton .

"Iwapo alilazimishwa, lazima alihisi kutishwa kuelezea ukweli katika mahakama. Hatutajua hilo kamwe.
Baada ya kesi, onyesho la Baartman taratibu lilianza kupoteza umaarufu wake miongoni mwa watazamaji katika jiji kuu la London na akaenda katika maonyesho katika maeneo mengine ya Uingereza na Ireland.



Mwaka 1814 alihamia Paris na Cesars​

Alikuwa mtu maarufu sana, akinywa kahawa katika mgahawa wa Cafe de Paris na kuhudhuria sherehe za kijamii. Cesars alirejea Afrika Kusini Baartman akawa muonyeshaji mwenye "tabia ya kinyama", akiwa na jina la jukwaani - Reaux. Alikunywa pombe kali, kuvuta sigara nzito na , kulingana Holmes, alikuwa "huenda kahaba" wake.


Baartman akikubali kufanyiwa utafiti na kuchorwa na kikundi cha wanasayansi na wasanii lakini alikataa kuonekana akiwa uchi wa mnyama mbele yao, akidai kuwa hilo lingekuwa chini ya heshima na utu wake - hakuwahi kufanya hili katika maonyesho yake mengine.


Kipindi hiki kilikuwa mwanzo wa utafiti wa kile ambacho kinafahamika kama "sayansi ya rangi ", anasema Holmes.

Baartman alifariki akiwa na umri wa miaka 26. Sababu ya kifo chake ilielezewa kama "majeraha na ugonjwa wa kulipuka". Ilisemekana kuwa hilo lilitokana na maradhi ya kifua, kaswende au ulevi.

Georges Cuvier, ambaye alicheza densi na Baartman katika moja ya sherehe zilizofanyika katika Reaux nchini Ufaransa, alitengeneza kadi iliyoonesha umbile la mwili wake kabla ya kuichana.

Alitunza mifupa yake na kuchukua ubongo wake na sehemu zake za siri, na kuziweka katika birauli na kuiweka kwenye jumba la maonyesho ya binadamu la Paris . Mabaki ya mwili wake yalioneshwa kwenye jumba hilo hadi mwaka 1974, kitu ambacho Holmes anakielezea kama "cha kutisha"

Baada ya kuchaguliwa kwake aliyekuwa rais wa Afrika Kusini 1994 , Nelson Mandela aliomba kuhamishwa kwa mabaki ya mwili wa Baartman na sanamu yake . Serikali ya Ufaransa hatimaye ilikubali na mwezi Machi mwaka 2002 mabaki hayo yakapelekwa Afrika Kusini.

Mwezi Agosti mwaka huo, mabaki yake yalizikwa katika eneo la Hankey, katika jimbo la Eastern Cape province, miaka 192 baada ya Baartman kuondoka akielekea Ulaya.



Credit: BBC SWAHILI.
 
Sarah Baartman alizaliwa mwaka 1789 katika kabila la khoikhoi huko Afrika kusini, mama yake alifariki Sara akiwa anamiaka 2 na baba yake alifariki Sara akiwa ni binti wa makamo.

Baadae Sara aliolewa na mwanaume kutoka kwenye kabila lao, ambaye nae aliuliwa na Mkoloni wake wa kiholanzi.

Sara akambidi aanze kufanya biashara ndogondogo Cape Town na hapo ndipo majonzi yakaanza.

Magazeti ya BBC yalilipoti kwamba Sarah alikutana Mzungu William Dunlop ambaye alivutiwa na shape ya MAKALIO MAKUBWA ya Sarah, basi akamuahidi atampeleka Ulaya na kumfanya awe Muhudumu halali huko. hivyo basi, Sarah alilazimika kusaini mkataba ambao baadae aligundua Mkataba aliosaini upo kinyume na malengo husika.

Sarah alitumika kwenye maonesho huko Ulaya ambapo wazungu walimuangalia na kumshikashika maungo yake maonesho hayo yanasadikika Sarah aliyafanya akiwa Uchi.

Na mwaka 1815 Sara akiwa na miaka 26 alifariki dunia lakini maonesho yaliendelea kwa kutumia mabaki ya viungo vyake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…