ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
Kuteseka kivipi!fafanua!.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jina lakeHuyu ndie sarabatman mwanamke alieteseka enzi za utumwa kuliko wanawake wote kutokana na shepe ama umbo lake alilokuwanalo lililowashangaza wazungu i alikua raia wa south Africa mwaka 1843View attachment 2203216
Sent using Jamii Forums mobile app
Manguruwe kbs!Hawa majamaa ni zaidi ya mbwa
Sio watu kabisaa, mashetani
Lakini inasemekana naye alipenda alivyokuwa anafanyiwa.Wanadai alikuwa na labio manora refu kama nini.Wazungu walikuwa wanalipa pesa ili kuishika na kuichezea.Hakika binadamu ni kiumbe wa ajabu Sana.Katika kabila la Khoikhoi huko Afrika ya Kusini mnamo mwaka 1789 alizaliwa mwanamke mmoja mwenye maumbile makubwa ya kuvutia kama unavyomuona katika picha.
Umbo lake liliwavutia sana wazungu na kufanya mwaka 1810 apelekwe uingereza ambako alitumika kuwa KIVUTIO cha watu kwenye maonesho ya kwenye majukwaa na aliwaingizia pesa nyingi sana wazungu hao.
Mwaka 1814 alihamishiwa Ufaransa ambapo alikuwa akifanya maonesho akiwa uchi (MZUNGU SIO MTU MZURI). Alikuwa akitwa Hottentot Venus (Mungu wa Mapenzi wa Khoikhoi).
Sara akifariki mwaka 1815 akiwa na umri wa miaka 26 na taarfa zinasema alikufa kwa ugonjwa wa zinaa unaoitwa kaswende (Syphilis).
Mabaki ya mwili wake kama fuvu pamoja na sehemu zake nyeti ziliendelea kufanyiwa maonesho katika Makumbusho ya jiji la Paris huko Ufaransa hadi miaka ya 1970's lakini mwaka 2002 mabaki hayo yalizikwa.
View attachment 1979649
Leo hii tunawaita mbwa kwa vitendo walivyo mfanyia Sarah, mtumwa walie mnunua nakusainishwa mkataba wa kilaghai.Hawa majamaa ni zaidi ya mbwa
Sio watu kabisaa, mashetani
At least nasikia kwa jirani zangu wakristu nguruwe mtamu nadhani hao ninfunza tuManguruwe kbs!
wachangaji mbona hawapo au kwa kuwa mzungu ni sehemu yao? ebu weke uzuli wewete hule wa muarabu uone watakavio shuka kuponda hatakama utakuwa ukweliWho was Sarah Baartman?
View attachment 2489538
Saartjie (Sara) Baartman was one of the first black women known to be subjugated to human sexual trafficking. She was derisively named the “Hottentot Venus” by Europeans as her body would be publicly examined and exposed inhumanly throughout the duration of her young life. Moreover. her experience reinforced the already existing and extremely negative sexual fascination with African women bodies by the people of Europe.
Sara Baartman was born in 1789 at the Gamtoos River, now known as the Eastern Cape in South Africa. Baartman and her family were members of the Gonaquasub group of the Khoikhoi. Baartman grew up on a colonial farm where she and her family most likely worked as servants. Her mother died when she was aged two and her father, who was a cattle driver, died when she was still a young girl.
By her teenage years Baartman married a Khoikhoi man who was a drummer. They had a child together who died shortly after birth. When Baartman was sixteen, her husband was murdered by Dutch colonists. Soon after, she was sold into slavery to a trader named Pieter Willem Cezar, who took her to Cape Town where she became a domestic slave to his brother, Hendrik. On October 29, 1810, although she could not read, 21-year-old Baartman supposedly signed a contract with William Dunlop, a physician, who was a friend of the Cezar brothers.
This contract required her to travel with the Cezar brothers and Dunlop to England and Ireland where she would work as a domestic servant since technically slavery had been abolished in Great Britain. Additionally, she would be exhibited for entertainment purposes. Baartman would receive a portion of earnings from her exhibitions and would be allowed to return to South Africa after five years. However, the contract was false on all details and her enslavement continued for the remainder of her life.
Baartman was first exhibited in London in the Egyptian Hall at Piccadilly Circus on November 24, 1810. Her public treatment, however, quickly drew the attention of British abolitionists who charged Dunlop and the Cezars with holding Baartman against her will. The court ruled against Baartman after Pieter Cezar produced the contract that had been signed by Baartman. Baartman also testified that she was not being mistreated.
The publicity generated by the court trial increased Baartman’s popularity as an exhibit. She was taken on tours throughout England and by 1812 as far away as Limerick, Ireland.
In September 1814, after staying four years in Great Britain, Baartman was taken to France and sold to S. Reaux, an exhibitor who showcased animals. He put Baartman on public display in and around Paris, often at the Palais Royal. He also allowed her to be sexually abused by patrons willing to pay for her defilement. Reaux garnered considerable profit due to the public’s fascination with Baartman’s body.
View attachment 2489539
Sara Saartjie Baartman died in Paris on December 29, 1815 at the age of 26. It is speculated that she died of tuberculosis or syphilis. Even after her death, many of her body parts would go on display at the Musée de l’Homme (Museum of Man), in Paris to support racist theories about people of African ancestry. Some of the body parts remained on display until 1974.
View attachment 2489542
In 1994 South African President Nelson Mandela formally requested that Baartman’s remains be returned to South Africa. On March 6, 2002, her remains were returned and buried at Hankey in the Eastern Cape Province.
Kindly upvote this so that lots of people can see it.
Refrences: