Sarah Baartman: Mwanamke mweusi kutoka Afrika Kusini aliyesafirishwa Ulaya kwa maonesho ya makalio makubwa

Sarah Baartman: Mwanamke mweusi kutoka Afrika Kusini aliyesafirishwa Ulaya kwa maonesho ya makalio makubwa

Wakuu heshima kwenu..
Nilisoma mahali kumuhusu Huyu mama aitwae Sarah Baartman ambaye inasemekana alikua na shepu ya haja kwa maana ya makalio pamoja na kuwa na mashavu makubwa ya uke kiasi kwamba wazungu waliomsafirisha toka Afrika kusini mpaka nchi za ulaya na kwenda kumuonesha kwenye kumbi kwa kiingilio..

Ningependa kuifahamu story yake kwa undani kwa wale wenye vyanzo tofauti kumuhusu huyu mama .View attachment 512453 View attachment 512454
Sarah Baartman, called "Saartjie" (the diminutive form), was likely born in 1789 in the Gamtoos valley in the eastern part of the Cape Colony. In 1810, she went to England with her employer, a free black man (a Cape designation for someone of slave descent) called Hendrik Cesars, and William Dunlop, an English doctor who worked at the Cape slave lodge.[1] They sought to show her for money on the London stage. Sara Baartman spent four years on stage in England and Ireland. Early on, her treatment on the Picadilly stage caught the attention of British abolitionists, who argued that her performance was indecent and that she was being forced to perform against her will. Ultimately, the court ruled in favour of her exhibition after Dunlop produced a contract made between himself and Baartman. It is doubtful that this contract was valid: it was probably produced for the purposes of the trial.[1][4] Cesars left the show and Dunlop continued to display Baartman in country fairs. Baartman also moved to Manchester where she was baptized as Sarah Bartmann. In 1814, after Dunlop's death, a man called Henry Taylor brought Baartman to Paris. He sold her to an animal trainer, S. Reaux, who made her amuse onlookers who frequented the Palais-Royal. Georges Cuvier, founder and professor of comparative anatomy at the Museum of Natural History examined Baartman as he searched for proof of a so-called missing link between animals and human beings. Baartman's body became the foundation for racist science.[citation needed] Baartman lived in poverty, and died in Paris of an undetermined inflammatory disease in December 1815. After her death, Cuvier dissected her body, and displayed her remains. For more than a century and a half, visitors to the Museum of Man in Paris could view her brain, skeleton and genitalia as well as a plaster cast of her body. Her remains were returned to South Africa in 2002 and she was buried in the Eastern Cape on South Africa's Women's Day.[1][4]
 

A Poem for sarah Baartman – By Dragoon


In the beautiful land of South Africa lies the bones of a poor slave woman,


Who was stolen from her motherland to Eurpe,


Where she was enslaved and humiliated.


Earth, do not lie too heavy to the bones of this poor slave woman,


Be kind to Sarah Baartman,


Who died at twenty-five.


“We cannot undo the damage that was done to her. But at least we can summon the courage to speak the naked but healing truth that must comfort her wherever she may be.”Thabo Mbeki


“the monstrosity lie in the matter of the gross abuse of a defenceless African woman in England and France! It was not the abused human being who was monstrous but those who abused her. It was not the lonely African woman in Europe, alienated from her identity and her motherland who was the barbarian, but those who treated her with barbaric brutality.” -Thabo Mbeki.



A Poem For Sarah Baartman” by Diana Ferru


I’ve come to take you home –home, remember the veld?


the lush green grass beneath the big oak trees


the air is cool there and the sun does not burn.



I have made your bed at the foot of the hill,


your blankets are covered in buchu and mint,

the proteas stand in yellow and white

and the water in the stream chuckle sing-songs

as it hobbles along over little stones.


I have come to wretch you away –


away from the poking eyes

of the man-made monster

who lives in the dark

with his clutches of imperialism

who dissects your body bit by bit

who likens your soul to that of Satan

and declares himself the ultimate god!


I have come to soothe your heavy heart


I offer my bosom to your weary soul

I will cover your face with the palms of my hands

I will run my lips over lines in your neck

I will feast my eyes on the beauty of you

and I will sing for you

for I have come to bring you peace.


I have come to take you home


where the ancient mountains shout your name.

I have made your bed at the foot of the hill,

your blankets are covered in buchu and mint,

the proteas stand in yellow and white –

I have come to take you home

where I will sing for you

for you have brought me peace.



 
It was so sad manake sehemu zake za siri zilifanyiwa upasuaji immediately alipofariki kabla hata mwili haujapoa na wakauweka kwenye museums.

But at least Madiba alifanikisha kuhamisha remains zake na zikapelekwa SA kwa ajili ya kuzikwa.
 
It was so sad manake sehemu zake za siri zilifanyiwa upasuaji immediately alipofariki kabla hata mwili haujapoa na wakauweka kwenye museums.

But at least Madiba alifanikisha kuhamisha remains zake na zikapelekwa SA kwa ajili ya kuzikwa.
Walichuckua na ubongo wake pia
 
Halafu anatokeaà mtu anasema "Nina rafiki mzungu"
 
Dah! Hizo poems zimenipa huzuni sana. Nilimsoma mara ya kwanza mwaka 2015 habari zake, niliumia mno mno.
 
Dah! Hizo poems zimenipa huzuni sana. Nilimsoma mara ya kwanza mwaka 2015 habari zake, niliumia mno mno.

Ni miaka zaidi ya mia moja imepita lakini kwa kweli story yake ukiwa na moyo mwepesi utatoa machozi mkuu
 
Alipelekwa ulaya kutokana na lijishepu lake huko akawa kama kideo kwenye circus na kuna kipindi akatoka akaanza umalaya hadi mauti inamkuta. Alipofariki mwili wake ulichukuliwa kwa ajili ya "scientific research"
Huyu Dada ni m south alipelekwa ufaransa kwaajili ya maonyesho sababu ya umbile lake LA kiafrica hakugawa mbunye sema walikua wakimuingilia ki nguvu wazungu na baadae alifariki mwili uliendelea kua wa maonyesho lakini Serikali ya south na watu wa haki za binadamu walipiga kelele mpaka mwili ukarudishwa S.A na ukazikwa.
 
Waafrika tulikuwa tunawekwa kwenye zoo..dah!! Leo tunashindana kwenye lugha zao!
 
Back
Top Bottom