Sarah Baartman: Mwanamke mweusi kutoka Afrika Kusini aliyesafirishwa Ulaya kwa maonesho ya makalio makubwa

Sarah Baartman: Mwanamke mweusi kutoka Afrika Kusini aliyesafirishwa Ulaya kwa maonesho ya makalio makubwa

Attachments

  • d55a5d02ffec39c6679a66fefee03d4c.jpg
    d55a5d02ffec39c6679a66fefee03d4c.jpg
    65.2 KB · Views: 93
Inasadikiwa alikufa kwa magonjwa ya zina...baada ya kugawa sana mbunye (kwa jina la kigeni : uroda).

Pia ndiye anayeshikilia rekodi ya kuwa na papuchi kubwa na msambwanda uliopitiliza vipimo vya kawaida vya misambwanda duniani
Nasikia aliwekwa museum for scientific research hta kabla hjafa. Wazungu walimtumia kma sex slave
 
Any justice for her au ndo hata waafrica tunaona fair tu mtu kufanyiwa ivi
 
Any justice for her au ndo hata waafrica tunaona fair tu mtu kufanyiwa ivi

Kilichofanyika ni kudai mabaki yake yaje afrika, ilifanywa na serilkali ya afrika kusini kipindi cha mandela. Wazungu waligoma hadi pale wabunge wa bunge la ufaransa walipochachamaa ndipo serikari ya ufaransa ikakubali kuachia mabaki.
serikali ya afrika kusini ilimuenzi kwa kumfanya kuwa reference ya haki za wanawake dhidi ya unyanyasaji wa kijinsia
 
Masikini! Kwa hiyo alifanywa kama mnyama katika zoo kwa maonesho?
 
Ila bado dada zetu hadi kesho.... wanafanyiwa vibaya saaana na whites....

Then wanapiga nao selfie na kujipaishaaaa....

Now watakua ni historia itakayosomwa na wajukuu zetu hapo baadae km sarah baartman tunavyomsoma leo.
 
af76214d106d70ee421f443e8b702512.jpg
[HASHTAG]#FAHAMU[/HASHTAG] Saartjie kutoka Afrika Kusini, alichukuliwa na wazungu wakati wa ukoloni na kwenda kufanywa maonyesho Uingereza kutokana na maumbile yake ya kuwa na makalio makubwa. Alipofariki ubongo na mifupa yake iliendelea kufanyw a maonyesho huko Ufaransa. Mwaka 2002 masalia yake yalirudishwa Afrika Kusini. -BBC
 
Back
Top Bottom