Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NAKAZIA.Wazungu watu wa ovyo sana.
Sawa ilisha wekwa humu, nilisoma hii nadhani inafika miaka mitatu sasa, ila sioni ubaya kuirudia kuiweka maana siyo watu wote waliisoma wakati ilipowekwa mwanzo.Karibu sana JF kijana.
Hii story imekuvutia sana ndiyo maana ukaiweka hapa ila next time unaweza kusearch kuangalia kama iliwahi kuandikwa au bado humu jukwaani.
Mfano; Google ina maana gani?.Sawa ilisha wekwa humu, nilisoma hii nadhani inafika miaka mitatu sasa, ila sioni ubaya kuirudia kuiweka maana siyo watu wote waliisoma wakati ilipowekwa mwanzo.
Wazungu watakuwa walijaribu kupita rough roadAlitekwa miaka ya 1780 ivi huko South Africa akapelekwa ulaya kwenye madanguro, akafa, hakuzikwa ila alifanyiwa upasuaji wa ubongo, makalio yake makubwa na sehemu za siri zikawekwa maabara uko ufaransa na uingereza. Then Mandela alienda kurudisha mabaki ya mwili wake (chini ya mabishano makali sana bungeni uko ufaransa) baada ya kwisha kwa utawala dhalili wa rangi. akazikwa uko kwa madiba kwa heshima kubwa.
Sara Baartman alikuwa ni mwanamke mwenye makalio makubwa yalioshangaza ulimwengu kiasi cha kutumika kwenye maonyesho huko Ulaya. Pia mashavu ya uke(labia) wake yalikuwa marefu kwa kuwa ni tamaduni ya kabila lao, kitu ambacho siku hizi kinaonekana kama ni Female Genital Mutilation
Sara Baartman alizaliwa 1789 katika jamii ya kifugai ya Khoisan, alikulia kwenye mashamba ya kikoloni. Sara aliuzwa kwa kaburu piter willem ambaye alimpeka Cape town, na wakamuita Saartjie jina la kikaburu lenye maana sawa na Sara
Aliingia mkataba octoba 29, 1810 na dkt. William Dunlop, masharti ya kiwa kukubali kusafiri na dkt huyo kuwa mtumishi wake wa ndani na pia kutumika katika maonyesho na burudani. Ilikubaliwa kupata pesa kidogo katika maingizo ya fedha hizo ili arejee afrika kusini baada ya miaka mitano, swala la kusaini mkataba huo ni kizungumkuti kwa kuwa sara hakuwa anajua kusoma na kuandika.
Umbo la sara lililokuwa na makalio makubwa liliwashangaza wazungu ambao walikuwa wanajiona bora. Watu wakawa wanalipa kumuona sara akiwa uchi, kuyaangalia makalio yake na uke wake uliokuwa umerefushwa mashavu yake (Labia) kwa tamaduni za kabila lake
Stember 1814 awalienda ufaransa na akauzwa kwa mfanyabiashara Reaux, na akaendelea kutumika kwenye maonyesho huko Paris
March 1815 akachukuliwa kama kielelezo cha kisayansi, science specimen akitumika na wana anatomia, zoolojia, fiziolojia
Sara alikuwa akiwa na umri wa miaka 26, waliukata mwili wake na kuuweka katika makumbusho hadi mwa 1974, hadith ya sara ilifufuka mwaka 1981 Stephen Jay Gould alipoanza kuipinga sayansi ya kibaguzi.
Serikali ya Nelson mandela iliposhinda kupitia chama cha ANC ilianza mazungumzo na serikali ya ufaransa ili kuurudisha mabaki ya mwili wa Sara. Hatua hiyo ilichukua miaka nane, machi 6 2002, mwili wake ulirudishwa afrika kusini na akazikwa agosti 9, 2002
Source:
APA - Sarah Baartman, at rest at last - SouthAfrica.info
Sarah Baartman: Mwanamke mweusi kutoka Afrika Kusini aliyesafirishwa Ulaya kwa maonesho ya makalio makubwa
Mwaka 1800 video bado zilikua hazijaanza kutumika?Bila shaka zilikuwepo, labda expenses zlikua juu kdogo, ngja tutafute videos zakewww.jamiiforums.com