Sarah Simbaulanga: Mwanamke wa kwanza kuiba pesa ndefu katika historia ya benki zote nchini

Kwa sasa hivi Yuko wapi Sarah!!?
 
Kumbe hakufanikiwa kuondoka nazo..
Ndo kwanza namsikia leo.
Nimemuhesabia umri ana miaka 69 sasa hv..kama bado yupo hai ni bibi sasa.
 
Ndiye hapo nilirejea kua anafanana na Bi. Sarah
Ila sarah mwenyewe yupo kwenye andiko
Tanzania tuna bahati sana hatuna wanasheria wengi wa kutosha, kitendo cha kutumia picha ya mtu mwingine kumfananisha na mhalifu ni kosa linaitwa defamation by innuendo, unafilisiwa kumfidia uliyemchafua!. Its not right, its not fair!
P
 
Hata hivyo kwenye mada ya kumuhusu Bi.Sarah sikumuweka huyo
Niliweka sarah mwenyewe
 
Tanzania tuna bahati sana hatuna wanasheria wengi wa kutosha, kitendo cha kutumia picha ya mtu mwingine kumfananisha na mhalifu ni kosa linaitwa defamation by innuendo, unafilisiwa kumfidia uliyemchafua!. Its not right, its not fair!
P
Hio ndio bahati kukosa wanasheria wa kutosha ?

JF tuna bahati sana Mods wangekuwa wakali wewe unapigwa BAN, au kuvuliwa huo U-Platinum Member na kuwa Junior Member..., kwa kupotosha jamii ya watu wa Online....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…