Sarah Simbaulanga: Mwanamke wa kwanza kuiba pesa ndefu katika historia ya benki zote nchini

🤣🤣🤣
Hio ndio bahati kukosa wanasheria wa kutosha ?

JF tuna bahati sana Mods wangekuwa wakali wewe unapigwa BAN, au kuvuliwa huo U-Platinum Member na kuwa Junior Member..., kwa kupotosha jamii ya watu wa Online....
Noma sana
 
Huyo sijaweka kwenye mada niliyo toa huyo hahusiki hapo
Rejea hapa Sarah Simbaulanga: Mwanamke wa kwanza kuiba pesa ndefu katika historia ya benki zote nchini
 
I wish ni meet na huyu bibi
Nimpe ata salamu na pesa ya soda

Nimetokea kumpenda ghafla
 
Nashkuru sana hatimaye leo nimeweza kupata full story kumuhusu bi Sarah Martin Simbaulanga. Juzi pia nilimuona huyu mama YouTube akihojiwa na hizi online TV. Pia nimeweza kujua mengi sana khs huyu mama Sarah Martin Simbaulanga.
 
Nakumbuka hata jinsi kesi yake ilivyokua movie kwenye gazeti la mfanyakazi (kama sikosei), maana tulikua tunaamshwa tukanunue gazeti ili baba asome hii kesi ndio tuwahi shule... enzi zile hata gazeti
Safi sana, kama mzee Yupo mpe salam
 
Hivi huyu mama alitoka jela mwaka gani nimemuona leo global online anasimulia mkasa wake ila bahati mbaya muandishi mwenyewe hata hamuulizi tarehe ya matukio yaani story nzima hakuna sehemu hata moja aliyotaja hata mwaka tu.. nimefurahi kukuta story yake humu kumbe kumbe ni zaidi ya miaka 30 iliyopita ndo tukio lilitokea
 
Hii scandal ilivuma sana nakumbuka nilikuwa form 3 Mawenzi Sec
 
Juzi kati niliona maojiano yake global tv online, amechoka san
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…