Dadi Barnea
JF-Expert Member
- Nov 30, 2024
- 746
- 1,512
Leo Waziri Mkuu “Pata Potea” anazurura Arusha kutembelea kinachoitwa uharibifu wa mali.
Tunaomba akumbushwe kufika pia mochwari ya mount Meru Hospital ajionee maiti za vijana waliowaua na ajue kuna maiti zimezuiliwa pale bado; familia zipewe miili ya wapendwa wao wakazike.
Pili, tumwone pia akitembelea na kutuhesabia vituo vya kupigia kura vilivyoharibiwa, then atueleze maelfu ya kura za Mzee Hassani zilipigwa saa ngapi. Wahalifu wakubwa nyie.