Dadi Barnea
JF-Expert Member
- Nov 30, 2024
- 746
- 1,512
Kwani akiendaLeo Waziri Mkuu “Pata Potea” anazurura Arusha kutembelea kinachoitwa uharibifu wa mali.
Tunaomba akumbushwe kufika pia mochwari ya mount Meru Hospital ajionee maiti za vijana waliowaua na ajue kuna maiti zimezuiliwa pale bado; familia zipewe miili ya wapendwa wao wakazike.
Pili, tumwone pia akitembelea na kutuhesabia vituo vya kupigia kura vilivyoharibiwa, then atueleze maelfu ya kura za Mzee Hassani zilipigwa saa ngapi. Wahalifu wakubwa nyie.
View attachment 3509576
Kwanii akienda kutembelea mochwari na kuona miili ya vijana wa kitanganyika waliokufa ndio atawafufua au nini kitaendelea cha maana? Kwa kifupi watanzania tushakuwa wajinga wajinga ndio mssns viongozi wanatuendesha sana.Leo Waziri Mkuu “Pata Potea” anazurura Arusha kutembelea kinachoitwa uharibifu wa mali.
Tunaomba akumbushwe kufika pia mochwari ya mount Meru Hospital ajionee maiti za vijana waliowaua na ajue kuna maiti zimezuiliwa pale bado; familia zipewe miili ya wapendwa wao wakazike.
Pili, tumwone pia akitembelea na kutuhesabia vituo vya kupigia kura vilivyoharibiwa, then atueleze maelfu ya kura za Mzee Hassani zilipigwa saa ngapi. Wahalifu wakubwa nyie.
View attachment 3509576
Serikali dhalimu iliyokosa mbinuu na maoni inayotawaliwa kwa hofuuLeo Waziri Mkuu “Pata Potea” anazurura Arusha kutembelea kinachoitwa uharibifu wa mali.
Tunaomba akumbushwe kufika pia mochwari ya mount Meru Hospital ajionee maiti za vijana waliowaua na ajue kuna maiti zimezuiliwa pale bado; familia zipewe miili ya wapendwa wao wakazike.
Pili, tumwone pia akitembelea na kutuhesabia vituo vya kupigia kura vilivyoharibiwa, then atueleze maelfu ya kura za Mzee Hassani zilipigwa saa ngapi. Wahalifu wakubwa nyie.
View attachment 3509576
Lini atakagua na makaburi ya waliouliwa!sikuhiyo sitakosa kushiriki.Leo Waziri Mkuu “Pata Potea” anazurura Arusha kutembelea kinachoitwa uharibifu wa mali.