Saratani inayoua sana Tanzania ni Ya kufanya Mapenzi Kwa njia ya Mdomo

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
42,872
Reaction score
34,363

[/FONT][/SIZE]

Saratani imeendelea kuwa tishio Tanzania na sasa unaambiwa saratani ambazo zilikuwa hazijawahi kujitokeza au kuonekana kipindi kilichopita, sasa ndio kama zimezaliwa na watu mbalimbali Tanzania wanakutwa nazo.

Mkurugenzi wa Idara ya Kinga kutoka taasisi ya Saratani Ocean road Julius Shija amesema takwimu zinaonyesha kuwepo kwa saratani ya mdomo na koo kwa kiasi kikubwa kuliko miaka iliyopita Tanzania.

Kwenye sentensi ya pili akasema Watanzania wasipende kuiga mambo ambayo si sahihi bila kujua madhara yake kama kufanya mapenzi kwa kuhusisha mdomo, saratani ya mdomo ipo na nyingine zinasababishwa na zinaa'

Anasema kwenye kupokea wagonjwa wapya kila siku kwenye taasisi hiyo, Wagonjwa waliopata saratani hiyo mdomoni na kwenye njia ya juu ya hewa baada ya kujamiiana kwa njia ya mdomo wanaongezeka na sasa wanapokea Wagonjwa 500 mpaka 600 tofauti na kipindi cha miaka ya tisini mwishoni na miaka ya elfu mbili mwanzoni walipokua wakipokea Wagonjwa 200-300.

Kufanya mapenzi na kuhusisha mdomo kunaleta saratani kupitia mdomo na sehemu ya juu ya hewa, virusi hivi vikifika kwenye sehemu ya juu ya hewa na mdomoni na vikakuta kuna mchubuko au uwazi wowote vitaingia kwenye hizi chembechembe za fizi kwenye ulimi na kwenye njia ya juu ya hewa, vitapenya ndani na kuharibu zile chembechembe na zitaanza kukua na kusababisha saratani'

Kwa kumalizia anasema virusi hivi kikawaida vinakuwa kwenye sehemu za siri na vinasambaa kwa njia ya kujamiiana na vinasababisha baadhi ya saratani kwenye sehemu za siri kwa mfano saratani ya shingo ya uzazi kwa Wanawake






Chanzo: MillardAyo
 
atoto pita huku uone...na ubishi uache
 
Last edited by a moderator:
Mmmghhh kweli? Wana umri gani hao wagonjwa? Sitaki kubishana na Daktari ila nadhani pia kuna influence kubwa ya aina za vyakula tunavyoona ambavyo ni hatari sana, mchicha kwa mfano ambao humwagiliwa kwa kiasi kikubwa na maji ambayo si salama ambayo mengi Yana chemicals nyingi toka viwandani na kwenye vyoo.

So I think hio pia inaweza kuchangia sana japo sidhani kama ina virus
 
Hii ni ya Tanzania kuhusu wale wanaofanya mapenzi na kuhusisha midomo.

Posted by: Millard Ayo November 22, 2014 stori kubwa

Saratani imeendelea kuwa tishio Tanzania na sasa unaambiwa saratani ambazo zilikuwa hazijawahi kujitokeza au kuonekana kipindi kilichopita, sasa ndio kama zimezaliwa na watu mbalimbali Tanzania wanakutwa nazo.Mkurugenzi wa Idara ya Kinga kutoka taasisi ya Saratani Ocean road Julius Shija amekaa na millardayo.com na kusema takwimu zinaonyesha kuwepo kwa saratani ya mdomo na koo kwa kiasi kikubwa kuliko miaka iliyopita Tanzania.

Kwenye sentensi ya pili akasema >>> ‘Watanzania wasipende kuiga mambo ambayo si sahihi bila kujua madhara yake kama kufanya mapenzi kwa kuhusisha mdomo, saratani ya mdomo ipo na nyingine zinasababishwa na zinaa'
Anasema kwenye kupokea wagonjwa wapya kila siku kwenye taasisi hiyo, Wagonjwa waliopata saratani hiyo mdomoni na kwenye njia ya juu ya hewa baada ya kujamiiana kwa njia ya mdomo wanaongezeka na sasa wanapokea Wagonjwa 500 mpaka 600 tofauti na kipindi cha miaka ya tisini mwishoni na miaka ya elfu mbili mwanzoni walipokua wakipokea Wagonjwa 200-300.


‘Kufanya mapenzi na kuhusisha mdomo kunaleta saratani kupitia mdomo na sehemu ya juu ya hewa, virusi hivi vikifika kwenye sehemu ya juu ya hewa na mdomoni na vikakuta kuna mchubuko au uwazi wowote vitaingia kwenye hizi chembechembe za fizi kwenye ulimi na kwenye njia ya juu ya hewa, vitapenya ndani na kuharibu zile chembechembe na zitaanza kukua na kusababisha saratani'

Kwa kumalizia anasema virusi hivi kikawaida vinakuwa kwenye sehemu za siri na vinasambaa kwa njia ya kujamiiana na vinasababisha baadhi ya saratani kwenye sehemu za siri kwa mfano saratani ya shingo ya uzazi kwa Wanawake.
 
mmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh!!!!!!! wale wa hand job haiwahus
 
magonjwa mengne ni kujitakia tu,, hivi kweli uzame chumvi wakat hakuna ladha,kuna harufu mbaya,
aaghrrrrr,, ptuuu
 
haya sasa, wale 'walamba koni' na 'walamba vitumbua' hii inawahusu. Bila kusahau 'walamba ma.vi'
 
Huu ulishakuwa wimbo mzuri masikioni mwa watu hata akija mtu akawaonyesha na jins alivyoathirika hawawezi kuelewa kamwe
 
username yako imenikumbusha mbali sana aisee

Jidu la Mabambasi in, Cheyo out ...................unakumbuka hii kitu??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…