OLS
JF-Expert Member
- Oct 12, 2019
- 426
- 685
Wizara ya Afya imetaja matumizi ya tumbaku kama moja ya sababu ya watu kupata saratani. Hata hivyo bei ya zao la tumbaku ni kubwa kuliko mazao mengine ya biashara katika soko la dunia
Kwa takwimu za kuanzaia Januari 2015 hadi Septemba 2021, wastani wa bei ya tumbaku ni Dola 4.7 kwa Kilogram ambayo ni sawa na Tsh. 10,870, bei hiyo imefuatiwa na chai yenye bei ya wastani wa Dola 2.8 takribani Tsh. 6,470
Bei ya soko la dunia la tumbaku inaweza kuwa kikwazo katika mapambano dhidi ya saratani.
Signed OEDIPUS