Kiwekwe kipindi cha mpito cha miezi sita kwa wavuta sigara wote nchini kwenda kukata leseni, hivyo ndani ya kipindi hicho waraibu / addicts wote wa nicotine/ tumbaku ambao kuacha sigara wameshindwa kabisa wawe wameshasajiliwa na kupewa leseni. Baada ya kipindi hicho cha mpito isitolewe tena...