PureView zeiss
JF-Expert Member
- Sep 5, 2016
- 10,786
- 35,916
Sare mpya kwa Madereva Bodaboda Dar es salaam
Hivi karibuni zitazinduliwa sare mpya kwa madereva wa Bodaboda Dar es salaam ambapo sare hizo zitakuwa na namba na ukiingiza hiyo namba kwenye mfumo utajua taarifa zote za huyo dereva na sehemu anapotokea.
Ambapo Mkuu wa Wilaya ya Ilala Muheshimiwa Edward Mpogolo, akiwa ametinga uniform Maalum ya madereva bodaboda ambayo inatarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni jijini Dar es salaam.
Hii nzuri sana itasaidia kupunguza vitendo vya wizi na kwa madereva hao kwani baadhi yao sio waaminifu na kuhamasisha usafi. Tunapoelekea dereva wa Bodaboda akifanya lolote lile ambalo sio zuri inakuwa rahisi kumpata. Hii nzuri sana isiishie Dar es salaam iwe kwa bodaboda Tanzania nzima
Wale bodaboda ambao wanakimbia baada ya kusababisha ajali au wale ambao wanavunja side mirror na kukimbia hapa itakuwa mwisho wao
.