Sare mpya Kwa madereva bodaboda DAR

Sare mpya Kwa madereva bodaboda DAR

Tatizo bongo tulionalo wale wenye uwezo mkubwa ndio wako mtaani wanatafuta ajira, wale wenye uwezo mdogo ndio hao wako serikalini.

Hivi raisi hawezi akahoji kwanini picha yangu imewekwa hapo kwenye jezi? Au ndio mwendelezo wa aliyeanzisha
Ni muendelezo mkuu ,na haya maokoto sidhani km Sieiji anayajua ..ni sehemu ya kula kwa urefu wa kamba
 
Sare mpya kwa Madereva Bodaboda Dar es salaam

Hivi karibuni zitazinduliwa sare mpya kwa madereva wa Bodaboda Dar es salaam ambapo sare hizo zitakuwa na namba na ukiingiza hiyo namba kwenye mfumo utajua taarifa zote za huyo dereva na sehemu anapotokea.

Ambapo Mkuu wa Wilaya ya Ilala Muheshimiwa Edward Mpogolo, akiwa ametinga uniform Maalum ya madereva bodaboda ambayo inatarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni jijini Dar es salaam.

Hii nzuri sana itasaidia kupunguza vitendo vya wizi na kwa madereva hao kwani baadhi yao sio waaminifu na kuhamasisha usafi. Tunapoelekea dereva wa Bodaboda akifanya lolote lile ambalo sio zuri inakuwa rahisi kumpata. Hii nzuri sana isiishie Dar es salaam iwe kwa bodaboda Tanzania nzima

Wale bodaboda ambao wanakimbia baada ya kusababisha ajali au wale ambao wanavunja side mirror na kukimbia hapa itakuwa mwisho waoView attachment 2949037.
Huyo jamaa nilimfurahia sana akiwa editer wa Rai baadaye Raia mwema kama sikosei, alikuwaga na nondo za maana kweli!

Kumbe ule usemi wa: 'mpe mtu madaraka ndiyo uone tabia yake halisi' ni wa kweli.

Wanapewa madaraka makubwa ya ukurugenzi, wanaona hayawatoshi mpaka waongezee na umchawa!

Samia aliwaasa anapowapatia vyeo, wawatumikie wananchi kwa viwango vinavyotakiwa, wasijione katika daraja za juu na wasipandishe mabega.

Sasa mabega wanapandisha na Samia wanamzima ghadhabu zake kwa 'kumwabudu' na maneno matamu tamu ya kubembeleza na asiweze kuwafanya lolote.

Wanamfubaza mboni zake asiweze kuona chochote kwa maneno ya 'nani kama mama', 'mama anaupiga mwingi' na mipicha kila kona na kwenye mbao za matangazo, barabara zote Tz nzima!

Hizi mbinu za kufubaza ghadhabu ya Rais na kupelekea kushindwa kuwachukulia hatua anuai wazembe na mafisadi sijui nani kawafundisha, maana inawalipa kweli!
 
Sasa kwanini iwekwe picha ya samia badala ya dereva
Samia ndo Rais
Au unamwona Samia kama shangazi yako?

Au unataka ikae picha yako?

Watanganyika mnapenda ubishi?
Yaani unahoji picha ya Rais Samia kwenye kitambulisho

Mbona hauhoji picha ya Nyerere kuna pesa na mwinyi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
UCHAWA UMEKITHIRI KUNA SIKU UNIFORM ZA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI na WAGONJWA waliolazwa ZITABANDIKWA PICHA YA Bi mkubwa
 
Sare mpya kwa Madereva Bodaboda Dar es salaam

Hivi karibuni zitazinduliwa sare mpya kwa madereva wa Bodaboda Dar es salaam ambapo sare hizo zitakuwa na namba na ukiingiza hiyo namba kwenye mfumo utajua taarifa zote za huyo dereva na sehemu anapotokea.

Ambapo Mkuu wa Wilaya ya Ilala Muheshimiwa Edward Mpogolo, akiwa ametinga uniform Maalum ya madereva bodaboda ambayo inatarajiwa kuzinduliwa hivi karibuni jijini Dar es salaam.

Hii nzuri sana itasaidia kupunguza vitendo vya wizi na kwa madereva hao kwani baadhi yao sio waaminifu na kuhamasisha usafi. Tunapoelekea dereva wa Bodaboda akifanya lolote lile ambalo sio zuri inakuwa rahisi kumpata. Hii nzuri sana isiishie Dar es salaam iwe kwa bodaboda Tanzania nzima

Wale bodaboda ambao wanakimbia baada ya kusababisha ajali au wale ambao wanavunja side mirror na kukimbia hapa itakuwa mwisho waoView attachment 2949037.
Sasa lipicha la Rais la nini kwenye sare za bodaboda? Nchi hii tumekuwa wapumbavu sana hatujijui tu!
 
Mimi naona ni uniform za kampeni tu hapa na picha kuwa hakuna mwingine
Mavazi ya boda lazima yawe magumu sana kumsaidia asivunjike na ni ghali mno
Sasa hivyo vitambaa vinasaidia nini?
Usalama kwanza
Pamoja na kampeni zao uchaguzi ukiwa huru Kizimkazi inapigwa asubuhi na mapema tu! Wapinzani wakaweke ka Mnyika kamnyoroshe!
 
Huyo jamaa nilimfurahia sana akiwa editer wa Rai baadaye Raia mwema kama sikosei, alikuwaga na nondo za maana kweli!

Kumbe ule usemi wa: 'mpe mtu madaraka ndiyo uone tabia yake halisi' ni wa kweli.

Wanapewa madaraka makubwa ya ukurugenzi, wanaona hayawatoshi mpaka waongezee na umchawa!

Samia aliwaasa anapowapatia vyeo, wawatumikie wananchi kwa viwango vinavyotakiwa, wasijione katika daraja za juu na wasipandishe mabega.

Sasa mabega wanapandisha na Samia wanamzima ghadhabu zake kwa 'kumwabudu' na maneno matamu tamu ya kubembeleza na asiweze kuwafanya lolote.

Wanamfubaza mboni zake asiweze kuona chochote kwa maneno ya 'nani kama mama', 'mama anaupiga mwingi' na mipicha kila kona na kwenye mbao za matangazo, barabara zote Tz nzima!

Hizi mbinu za kufubaza ghadhabu ya Rais na kupelekea kushindwa kuwachukulia hatua anuai wazembe na mafisadi sijui nani kawafundisha, maana inawalipa kweli!
Kitu ambacho wanawake wote duniani wanapenda ni kusifiwa
 
Samia ndo Rais
Au unamwona Samia kama shangazi yako?

Au unataka ikae picha yako?

Watanganyika mnapenda ubishi?
Yaani unahoji picha ya Rais Samia kwenye kitambulisho

Mbona hauhoji picha ya Nyerere kuna pesa na mwinyi

Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi kuwa na shangazi kama ww
 
Back
Top Bottom