Kertel JF-Expert Member Joined May 11, 2012 Posts 5,425 Reaction score 5,227 Mar 30, 2024 #61 Mzee wa Twitter said: UCHAWA UMEKITHIRI KUNA SIKU UNIFORM ZA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI na WAGONJWA waliolazwa ZITABANDIKWA PICHA YA Bi mkubwa Click to expand... Nimesikia mashuka ya MSD toleo jipya yatakuja na picha mama kizimkazi
Mzee wa Twitter said: UCHAWA UMEKITHIRI KUNA SIKU UNIFORM ZA SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI na WAGONJWA waliolazwa ZITABANDIKWA PICHA YA Bi mkubwa Click to expand... Nimesikia mashuka ya MSD toleo jipya yatakuja na picha mama kizimkazi
little master JF-Expert Member Joined Jul 16, 2018 Posts 1,870 Reaction score 3,589 Mar 30, 2024 #62 Kwanza kwa dhati kabisa napenda kuishukuru serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na mama yetu Mh. Dr. Samia Suluhu Hassan.
Kwanza kwa dhati kabisa napenda kuishukuru serikali ya awamu ya sita inayoongozwa na mama yetu Mh. Dr. Samia Suluhu Hassan.