Sare ya Real Madrid vs Real Mallocra jana ni somo tosha kwetu mashabiki wa Simba tulioipenda timu miaka hivi karibuni

Sare ya Real Madrid vs Real Mallocra jana ni somo tosha kwetu mashabiki wa Simba tulioipenda timu miaka hivi karibuni

Tumekamilika sana mkuu๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ Ujue Dube,Kii,Pacome,Bocca na Mbappe wetu Max....vitasaa BBD anapita nani kumkuta Diarra master ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ Aje kama haogopi.
Ndiyo hao uliowataja wapambane na Real Madrid kisa katoa droo na Mallorca?

๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜„

Yanga mna mbwembwe Sana nyie watu
 
Jana nilicheki mechi baina ya Real Mallorca vs Real Madrid, gemu iliisha kwa sare ya bao 1 -1, mpira mwingi ulipigwa na Real Mallorca jana na almanusura Madrid walie dakika za mwisho, Real Madrid ndio mabingwa wa soka duniani, ndio timu yenye mafanikio makubwa namba duniani, timu yenye makombe yasiyohesabika duniani.

Madrid imesheheni wachezaji wa hatari kabisa, kule mbele kuna watu wabaya mno.Jana Vini, Mbappe, Rodrigo walihangaika mnooo lakini wapi, Mallorca walipambana nao bila kujali majina.

Lakini kubwa zaidi na hoja yangu mimi ni Madrid kusare na timu ndogo kama Mallorca, sare ya jana haikuwashtua mashabiki wala kocha wala uongozi, sare katika mchezo wa kwanza ni jambo la kawaida hasa ukizingatia kuwa ndio kwanza mechi ya kwanza kwao.

Lakini pia wenzetu wanaamini sare ni sehemu ya mchezo, Madrid wamepambana sana lakini matokeo yakawa vile vile moja moja, walishambulia sana lango la Mallorca na Mallorca hawakuwa wanyonge kivile, waliwapelekea moto Madrid mwanzo mwisho.Huo ndio mpira.

Kwenu mashabiki wa Simba, timu yetu inapotoka sare au kufungwa ni sehemu ya mchezo, nafikiria jana Simba angesare au kufungwa sijui ingekuwaje leo Jumatatu, kama wewe unaona football iko upande wa ushindi tafadhali geuka kama Hamissa Mobetto au Meja Kunta au Nabii Meja nenda Yanga ambao wao wanaamini kushinda kila gemu ndio mpango mzima.

Kama Madrid anatoka sare na kibonde wewe nani uwe unashinda kila siku.
Simba mmejifunza nini sasa?
 
Kha! Really,mbona wakawaida tu mbona nasis
Ndiyo hao uliowataja wapambane na Real Madrid kisa katoa droo na Mallorca?

๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜„

Yanga mna mbwembwe Sana nyie watu
nasisi
Ndiyo hao uliowataja wapambane na Real Madrid kisa katoa droo na Mallorca?

๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜„

Yanga mna mbwembwe Sana nyie watu
mbona nasisi tumecheza na Ausburg ya Bundles Liga tukawatoa kamasi mkuu afu ndo tulikua tunatest mitambo tu.Yaani basi tu Ila Yanga Sasa hivi inahadhi ya kuchezaa UEFA champions na ikapasua robo Fainali manzeee๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
 
Kha! Really,mbona wakawaida tu mbona nasis
nasisi mbona nasisi tumecheza na Ausburg ya Bundles Liga tukawatoa kamasi mkuu afu ndo tulikua tunatest mitambo tu.Yaani basi tu Ila Yanga Sasa hivi inahadhi ya kuchezaa UEFA champions na ikapasua robo Fainali manzeee๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
๐Ÿƒ๐Ÿƒ๐Ÿ˜ญ๐Ÿ˜ญ

Ausburg walikuwa wanacheza ama wanafanya mazoezi... ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜†๐Ÿ˜„
 
Back
Top Bottom