Sare ya Simba leo lawama kwa Serikali

Makambovich

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2018
Posts
207
Reaction score
200
*Sare ya Simba lawama kwa Serikali,*

kitendo cha kufungia uwanja kimetuathiri sana, siku zote ili kummaliza adui tunahitaji muda mrefu wa maandalizi ikiwemo kamati zetu kuweka miundombinu vizuri pale uwanjani.

kwa mechi hii ilikua vigumu sababu uwanja ulikua tayari mikononi mwa serikali, wazee wetu walijitahidi kadri ya uwezo wao kuhakikisha matokeo mazuri yanapatikana bahati mbaya muda haukuwa rafiki sana haswa kwa kuzingatia na wakongo walijipanga sana kutokana na matokeo waliyopata Vita!!

Tushukuru kwa hatua tuliyofikia hakika tumeandika historia

Yes we can
 
Yanga bana,kufatilia michezo ya wanaume tu. Game zenu aibu kabisa bora hata niangalie rede nione hata chupi kuliko Yanga
 
Reactions: Tui
Yanga bana,kufatilia michezo ya wanaume tu. Game zenu aibu kabisa bora hata niangalie rede nione hata chupi kuliko Yanga
Hivi ukifumaniwa tena usiku gizani halafu ukakurupuka na t-shirt ukajifunga kiunoni (namaanisha huna shati wala suruali zaidi ya hiyo t-shirt) kufika mbele ukagundua ni jezi ya Yanga je utaitupa utembee uchi? Au utajikaza utembee nayo?
 
Kwenye idara ya manukato a.k.a pafyum Simba mpo vzr aisee,but ndo hivyo leo ziligonga mwamba,tandikeni tu kandanda kavukavu mtashinda[emoji23][emoji23]

Sent from Nokia 7 Plus
 
Mlevi mmoja amesikika mtaani kumbe Bocco Yanga kulialia toka mdogo
 
Serikali au BOCCO?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…