Makambovich
JF-Expert Member
- Oct 27, 2018
- 207
- 200
*Sare ya Simba lawama kwa Serikali,*
kitendo cha kufungia uwanja kimetuathiri sana, siku zote ili kummaliza adui tunahitaji muda mrefu wa maandalizi ikiwemo kamati zetu kuweka miundombinu vizuri pale uwanjani.
kwa mechi hii ilikua vigumu sababu uwanja ulikua tayari mikononi mwa serikali, wazee wetu walijitahidi kadri ya uwezo wao kuhakikisha matokeo mazuri yanapatikana bahati mbaya muda haukuwa rafiki sana haswa kwa kuzingatia na wakongo walijipanga sana kutokana na matokeo waliyopata Vita!!
Tushukuru kwa hatua tuliyofikia hakika tumeandika historia
Yes we can