Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Kuna ugumu gani kuzizalisha nchini hayo magwanda ya khaki ili kuwa raisi kila mtu kupata kwa bei nafuu?View attachment 2875596
Baada ya Mwamko wa Wananchi wa kushiriki Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na Chadema kuwa juu , Sare za Chama hicho zageuka dili .
View attachment 2875597
Maduka yote yanayouza sare hizo yakipandisha bei mara dufu , huku Magwanda ya Khaki yanayotengenezwa Thailand yakiwa dili zaidi , huku taarifa zikionyesha kwamba yameanza kuadimika .
View attachment 2875598
Natoa wito kwa Wizara ya Biashara kuingilia kati bei ya vifaa vya Chadema ili kila mwananchi avipate kwa bei ya halali
Mitaa gani hiyo. Acheni ujinga wenu. Tuonane siku maalum ya usafiView attachment 2875596
Baada ya Mwamko wa Wananchi wa kushiriki Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na Chadema kuwa juu , Sare za Chama hicho zageuka dili .
View attachment 2875597
Maduka yote yanayouza sare hizo yakipandisha bei mara dufu , huku Magwanda ya Khaki yanayotengenezwa Thailand yakiwa dili zaidi , huku taarifa zikionyesha kwamba yameanza kuadimika .
View attachment 2875598
Natoa wito kwa Wizara ya Biashara kuingilia kati bei ya vifaa vya Chadema ili kila mwananchi avipate kwa bei ya halali
nilijua ata ni mzigo wa maana kumbe ndivyo kama inavoonekana kwenye picha 🐒View attachment 2875596
Baada ya Mwamko wa Wananchi wa kushiriki Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na Chadema kuwa juu , Sare za Chama hicho zageuka dili .
View attachment 2875597
Maduka yote yanayouza sare hizo yakipandisha bei mara dufu , huku Magwanda ya Khaki yanayotengenezwa Thailand yakiwa dili zaidi , huku taarifa zikionyesha kwamba yameanza kuadimika .
View attachment 2875598
Natoa wito kwa Wizara ya Biashara kuingilia kati bei ya vifaa vya Chadema ili kila mwananchi avipate kwa bei ya halali
Wewe na mume wako?Tumaini letu pekee ni Chadema tu!
Nadhani unachekelea ukombozi , hongera sanaAisee🤣
Unajua kwa nini nimecheka?
Maduka ya wapi mbona huku kitu hicho hakipo. Au sasa mmeongezea uongo kwenye lugha zenu za matusi.View attachment 2875596
Baada ya Mwamko wa Wananchi wa kushiriki Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na Chadema kuwa juu , Sare za Chama hicho zageuka dili .
View attachment 2875597
Maduka yote yanayouza sare hizo yakipandisha bei mara dufu , huku Magwanda ya Khaki yanayotengenezwa Thailand yakiwa dili zaidi , huku taarifa zikionyesha kwamba yameanza kuadimika .
View attachment 2875598
Natoa wito kwa Wizara ya Biashara kuingilia kati bei ya vifaa vya Chadema ili kila mwananchi avipate kwa bei ya halali
HakikaTumaini letu pekee ni Chadema tu!
Maduka yanayouza vifaa vya Chadema yanafahamika nchi nzimaMaduka ya wapi mbona huku kitu hicho hakipo. Au sasa mmeongezea uongo kwenye lugha zenu za matusi.
AminaChadema ndio Tanzania tuitanakayo
Kitu usichokijua ni kwamba bidhaa zinazozalishwa ndani ndio gharama kuliko izo zinazotoka njeKuna ugumu gani kuzizalisha nchini hayo magwanda ya khaki ili kuwa raisi kila mtu kupata kwa bei nafuu?