Pre GE2025 Sare za CHADEMA zagombewa mitaani. Magwanda ya Khaki yawa dili, yaanza kuadimika

Pre GE2025 Sare za CHADEMA zagombewa mitaani. Magwanda ya Khaki yawa dili, yaanza kuadimika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Ngoja tuvae hayo magwanda,mana ukivaa za mchanganyiko mabaka hata kama ya kuku kanga wanaweza kukuvunja kiuno utasikia ya jeshi tz kila aina ya nguo za kijeshi ni zao dunia nzima,hiii nchi vichaa ni wengi sana kuishi inahitaji usiwe na akili timamu
 
View attachment 2875596

Baada ya Mwamko wa Wananchi wa kushiriki Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na Chadema kuwa juu , Sare za Chama hicho zageuka dili .

View attachment 2875597

Maduka yote yanayouza sare hizo yakipandisha bei mara dufu , huku Magwanda ya Khaki yanayotengenezwa Thailand yakiwa dili zaidi , huku taarifa zikionyesha kwamba yameanza kuadimika .

View attachment 2875598

Natoa wito kwa Wizara ya Biashara kuingilia kati bei ya vifaa vya Chadema ili kila mwananchi avipate kwa bei ya halali
Walanguzi wote wapo chadema!
 
Historia kuandikwa tarehe ya 24 January 2024 nchi nzima kuitikia wito kuandamana kwa amani ili kuitia mbinyo (pressure) serikali ya CCM na bunge lake kusikiliza maoni ya kutakiwa kuitupilia mbali miswada mibovu ovu dhidi ya uhuru na demokrasia.
serikali isihangaike na hawa mizoga wa Chadema washaoza hawa ni kundi la matapeli hakuna atakayekubali kutumika na mamisukule
 
Hutaki unaacha , siku zote CHADEMA inauza vifaa , havigawiwi bure kama huko kwenu ccm
najua mnauza vifaa vya ujenzi na pembejeo za kilimo mkuu, kwa hilo sikubishii ila izo vitu zingine ni porojo tu 🐒
 
1705588134816.png
 
Baada ya Mwamko wa Wananchi wa kushiriki Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na Chadema kuwa juu , Sare za Chama hicho zageuka dili .

Maduka yote yanayouza sare hizo yakipandisha bei mara dufu , huku Magwanda ya Khaki yanayotengenezwa Thailand yakiwa dili zaidi , huku taarifa zikionyesha kwamba yameanza kuadimika .

Natoa wito kwa Wizara ya Biashara kuingilia kati bei ya vifaa vya Chadema ili kila mwananchi avipate kwa bei ya halali
CHADEMA na upigaji ni kama mizizi na ardhi. Yaani hata sare za chama mnawapiga wafuasi wenu kwa kuwauzia bei mara mbili? Ninatumaini Wizara ya biashara chini ya serikali ya CCM itaitikia wito wako wa kudhibiti upigaji ulioko kwenye uuzaji wa sare za chama chenu.
 
Maandalizi yazidi kupamba moto nchi nzima

18 January 2024

Arusha, Tanzania

Viongozi wa CHADEMA watamatwa na kuachiwa kisa matayarisho ya maandamano.

Viongozi wa CHADEMA kanda ya kaskazini watoa tamko

View: https://m.youtube.com/watch?v=Nq_tZAlerBw
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mkoa wa Arusha kamanda Elisa Mungure amezungumza na waandishi wa Habari ...
 
We Mukya acha blah blah. Wapi huko walipogombea sare za CDM? Walishindwa kuzigombea 2010 hadi 2015 zije gombewa 2023 wakati chama kiloshajifia?😀😃😄😁😆
 
Nitaanza harakati za kukipigania chama pindi tu ntakapoona mwenyekiti wa chama sio Mbowe!, Kwa sasa lolote liwakute maana kunakaubabaisha na udanganyifu mkubwa.
 
Baada ya Mwamko wa Wananchi wa kushiriki Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na Chadema kuwa juu , Sare za Chama hicho zageuka dili .

Maduka yote yanayouza sare hizo yakipandisha bei mara dufu , huku Magwanda ya Khaki yanayotengenezwa Thailand yakiwa dili zaidi , huku taarifa zikionyesha kwamba yameanza kuadimika .

Natoa wito kwa Wizara ya Biashara kuingilia kati bei ya vifaa vya Chadema ili kila mwananchi avipate kwa bei ya halali
Ila ww jamaa bhana 😂😂 ungekuwa msanii ungepiga sana pesa za show mana ungekuwa na mistari mikali sana, yani sehemu yenye 0 unalazimisha iwe 1 😂
 
Back
Top Bottom