Pre GE2025 Sare za CHADEMA zagombewa mitaani. Magwanda ya Khaki yawa dili, yaanza kuadimika

Pre GE2025 Sare za CHADEMA zagombewa mitaani. Magwanda ya Khaki yawa dili, yaanza kuadimika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Baada ya Mwamko wa Wananchi wa kushiriki Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na Chadema kuwa juu , Sare za Chama hicho zageuka dili .

Maduka yote yanayouza sare hizo yakipandisha bei mara dufu , huku Magwanda ya Khaki yanayotengenezwa Thailand yakiwa dili zaidi , huku taarifa zikionyesha kwamba yameanza kuadimika .

Natoa wito kwa Wizara ya Biashara kuingilia kati bei ya vifaa vya Chadema ili kila mwananchi avipate kwa bei ya halali
Mungu Ibariki CHADEMA[emoji173]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Diwani mstaafu - Tumechelewa Sana Kufanya Maandamano

View: https://m.youtube.com/watch?v=BnyJjciOv6Y

Diwani mstaafu kutoka Mbalizi almaaruf kwa jina KK anafafanua kwa mapana na marefu kutokana na uzoefu kama mwenyekiti wa kijiji kwa miaka 8, diwani mstaafu ..... ngazi zote hizo za uongozi kupitia CHADEMA na kumpa ushauri mkuu wa mkoa wa DSM kuhusu ...
 
Mtoa hoja unefirisika kifikra,una msongo wa mawazo umebaki kujifariji kwa vitu vya kijinga,
 
Baada ya Mwamko wa Wananchi wa kushiriki Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na Chadema kuwa juu , Sare za Chama hicho zageuka dili .

Maduka yote yanayouza sare hizo yakipandisha bei mara dufu , huku Magwanda ya Khaki yanayotengenezwa Thailand yakiwa dili zaidi , huku taarifa zikionyesha kwamba yameanza kuadimika .

Natoa wito kwa Wizara ya Biashara kuingilia kati bei ya vifaa vya Chadema ili kila mwananchi avipate kwa bei ya halali

View: https://twitter.com/MfanyakaziNews/status/1748762594402254860?t=R16fERUFE2l5n5PC1CFzww&s=19
 
Back
Top Bottom