Pre GE2025 Sare za CHADEMA zagombewa mitaani. Magwanda ya Khaki yawa dili, yaanza kuadimika

Pre GE2025 Sare za CHADEMA zagombewa mitaani. Magwanda ya Khaki yawa dili, yaanza kuadimika

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mpuuzi ni wewe unayemtukana mbowe wakati ni baba yako, unamjua baba yako wewe? Nakupa tarifa mheshimu Mbowe ni baba yako!
Takataka wewe! Unajua matusi wewe?, Atoke kwenye uongozi kwa chadema ni Mali yake?.au ww ni mke wake mdogo?.
 
Maandalizi yazidi kupamba moto nchi nzima

18 January 2024

Arusha, Tanzania


Viongozi wa CHADEMA watamatwa na kuachiwa kisa matayarisho ya maandamano.

Viongozi wa CHADEMA kanda ya kaskazini watoa tamko


View: https://m.youtube.com/watch?v=Nq_tZAlerBw
Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Mkoa wa Arusha kamanda Elisa Mungure amezungumza na waandishi wa Habari ...

Kumekuchaaa....

Ntaanzia Duka mbovu kuja tauni ......
 

Baada ya Mwamko wa Wananchi wa kushiriki Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na Chadema kuwa juu , Sare za Chama hicho zageuka dili .


Maduka yote yanayouza sare hizo yakipandisha bei mara dufu , huku Magwanda ya Khaki yanayotengenezwa Thailand yakiwa dili zaidi , huku taarifa zikionyesha kwamba yameanza kuadimika .


Natoa wito kwa Wizara ya Biashara kuingilia kati bei ya vifaa vya Chadema ili kila mwananchi avipate kwa bei ya halali
Wana Yanga watazivaa kweli hizo t shirts? Ahahahahaha!!!
 
Kuweni makini isije ikawa ccm inatuma makamanda feki wanunue ili kufanya wanalotamani
 
Mwenye picha ya mwasisi wa Taifa akiwa amepiga gwanda atuletee hapa.

Maana Nyerere pia alikuwa muumini wa maandamano kama njia ya kudai HAKI.
 
Mimi ninahofu tu kwamba policcm watakubali kabisa haya maandamano, mjue hawajawahi kulusu kutokea tangu uhuru? na chadema pia, wadhaifu sana haya mambo ni jambo la kusubili kuona.
 
Kwa D'Salaam Sare zimebaki Kariakoo na Kitumbini tu
 
Hivi uliwahi kuona uzi wa mwashambwa ulio na ushahidi picha au video ? sijui mnanilinganishaje na watu duni kama hao yaani !
😀😀😀Kwa hiyo hao watu wawili wanaotandika mahali pa kupumzika ndio wapo kugombania sare za chama Chenu chovu? Kweli nyie ni mafisi na manyumbu.
 
Back
Top Bottom