Ujamaa ni mhimu
JF-Expert Member
- Sep 30, 2022
- 1,203
- 1,011
Safi kabisaa naona wako kwenye mkeka wa rami ambao ni zao zurii la utekerezaji wa irani ya CCM. Kidumu chama cha mapinduzii
Baada ya Mwamko wa Wananchi wa kushiriki Maandamano ya Amani yaliyoandaliwa na Chadema kuwa juu , Sare za Chama hicho zageuka dili .
Maduka yote yanayouza sare hizo yakipandisha bei mara dufu , huku Magwanda ya Khaki yanayotengenezwa Thailand yakiwa dili zaidi , huku taarifa zikionyesha kwamba yameanza kuadimika .
Natoa wito kwa Wizara ya Biashara kuingilia kati bei ya vifaa vya Chadema ili kila mwananchi avipate kwa bei ya halali