Sare za JWTZ zamuweka kijana matatani

Akatuoneshe alipo marehemu wetu
Halafu hilo licombat ni oversize hapo lazima wamuotee tu
 
Dah! Kama mi nilipenda Sana kazi ya kuvaa suti nyeusi au darkblue lakini sikuipata na sintoipata tena
 
Umakuta ana sare zaidi ya moja na kuna wakati zinakua adimu mpaka unajinumulia so inakua vigumu kujua kila. Askari ana sare ngapi
 
Tutampa ajira mpaka akiokoa maisha ya mtoto kule Ufaransa, huyu mzalendo au anatumia sare ili asilipe nauli za usafiri?.


Ndukiiiii πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
 
Tutampa ajira mpaka akiokoa maisha ya mtoto kule Ufaransa, huyu mzalendo au anatumia sare ili asilipe nauli za usafiri?.


Ndukiiiii [emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️[emoji125]‍♂️
Ama ajilipue kwenye msafara wa mkulu akiwa kwenye mikutano yake aliliee weeeee labda mkulu atamuonea huruma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…