Hivi wakuu hizi sare za kiume za hivi vyama ni nani aliwachagulia.
Yaani mkizivaa haziwapendezi hata kidogo yaani.
Mlishindwa kuchagua rangi nzuri ya sare kwaajili ya wanachama wenu.
Hivi hamwoni aibu kuvaa masale kama ya hayo.
Sii bora mngeshona sare hata zinazofanana na jezi za chelse au Arsenal kuliko kutuvalia masale meupe kama mizimu wengine wanatuvalia masale ya rangi ya kjivu kama makombati ya wavuta bangi.
Kwanini msichague sare zenye rangi inayovutia kama ya CCM.
Hivi hamwoni wivu mkiona wanaccm wanavyo tinga sare zinazovutia.
Hivi hamwoni aibu hata vile vitambaa vya wanawake wa CCM.
Kama hujanielewa naomba tutupie sare za ile siku ACT wanamkaribisha mwanachama mpya.
Na zile za Chadema alafu tutupie na za CCM.
View attachment 1517468
View attachment 1517469
View attachment 1517470
View attachment 1517471
View attachment 1517472View attachment 1517476
View attachment 1517478