Sare za kiume za wanachama wa CHADEMA NA ACT Wazalendo ninyi mnazionaje

Mumeishiwa sera sasa mnajadili mavazi wapumbavu kweli nyie mafisi wa Lumumba
 
Hizo rangi yawezekana ndio zimesababisha kifo cha mpendwa.. maana ndio zilikua rangi za mwisho kuziona.. Tuzikwepe hizo rangi unaweza tangulia mawinguni hivi hivi
 
Ha ha ha ha ni jobless tu, badala ya kupanga mipango ya kupata kazi yeye anakuja kuisifia Ccm humu
Mkuu hivi unavyo dhani mimi ni jobless, no any one can define me especially ninyi viumbe wenye akili ndogo.
 
Nikiona rangi za njano na kijani napata diziness
 
Wataruka ruka kuleta sababu nyingine ila mtoa maada umenena ukweli mchungu

Bora chadema wangechagua ile white and blue kwenye ile bendera yao

Yaone yale masweta ya mistari wanayovaa siku hizi hata hayana radha!

Watapinga lakini ukitoa uchama popote pale green ni rangi ya kupendeza, hata mzingira bila ukijani hayana mvuto!.
 
Kweli Siasa ni Brain washing people..., kipaumbele ni nguo gani za chama gani wanapendeza na sio kuhakikisha kila mwananchi angalao ana mavazi (no matter hata kama hapendezi) malazi na chakula......
Mkuu chama bila sare sio chama. Tatizo lako akili zako ni fupi kama wewe.
 
Mazingira/mimea ni ya kijani kwa sababu ya chlorophyll ya kusaidia photosynthesis acha uzembe ww
Hebu hapo ulipo vaa suruali ya kijani na shati la njano halafu mwenzako avae shati la blue na suruali nyeusi halafu uone
 
Ha ha ha ha ni jobless tu, badala ya kupanga mipango ya kupata kazi yeye anakuja kuisifia Ccm humu
Ukitaka nikuajili au nikulipe kila mwezi niambie nitafanya hivyo nipo kwaajili ya kukusaidia.
 
Yaani hizo sare za CCM na rangi zao za kijani+njano zinanikera sana.
Sitaki hata mwanafamilia yangu avae nguo zifananazo na rangi hizo.
 
Mkuu chama bila sare sio chama. Tatizo lako akili zako ni fupi kama wewe.
Kwahio unapima mafanikio ya Chama Cha Siasa kwa Sare ? (Kumbuka tunaongelea Chama Cha Siasa, sio Chama cha wana Fashion Show..), kuna umuhumi gani Chama kuwa na Sare na Kupendeza wakati wanachama / wananchi wao wengi nguo zimepauka ?, au unadhani Ghandhi kuvaa kwake shuka ni kwamba suti zake zililiwa na Panya ?

Mtizamo wa wananchi kama wewe ndio maana wanasiasa wanapeta.., mtu anafurahia maendeleo hana Bima, chakula chake ni bahati nasibu na watoto wake kupata elimu mpaka wabembeleze mkopo (and that is not 100% guaranteed)... I repeat Politics za karne hii ni brainwashing people na propaganda...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…