Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
- Thread starter
-
- #41
Hahahaaaa migwanda na ndio sababu hamjitambui mnapelekeshwa kaa mazombiKamanda havai mtandio. Kamanda anavaa gwanda. Anayekwenda kwenye Kitchen party anavaa mtandio!
Kwasababu hujitambuiYaani hizo sare za CCM na rangi zao za kijani+njano zinanikera sana.
Sitaki hata mwanafamilia yangu avae nguo zifananazo na rangi hizo.
Mkuu sare ya chama iko ndani ya katiba hata logo iko ndani ya katiba acha ushamba. Na hiyo wanachama ndio ambao hu design. Chama bira sare sio chama. Sare ndio utambulisho wa chama acha uchakubanga.Kwahio unapima mafanikio ya Chama Cha Siasa kwa Sare ? (Kumbuka tunaongelea Chama Cha Siasa, sio Chama cha wana Fashion Show..), kuna umuhumi gani Chama kuwa na Sare na Kupendeza wakati wanachama / wananchi wao wengi nguo zimepauka ?, au unadhani Ghandhi kuvaa kwake shuka ni kwamba suti zake zililiwa na Panya ?
Mtizamo wa wananchi kama wewe ndio maana wanasiasa wanapeta.., mtu anafurahia maendeleo hana Bima, chakula chake ni bahati nasibu na watoto wake kupata elimu mpaka wabembeleze mkopo (and that is not 100% guaranteed)... I repeat Politics za karne hii ni brainwashing people na propaganda...
Kwa wanaojitambua kama mimi na wengine hakuna wa kusupport hoja yako, rejea comment za wadau ndo utajiridhisha kuwa wewe ndo hujitambui.Kwasababu hujitambui
Kumbe huna argument, wewe utakuwa MJUMBE! maana kila mtu unamwambia hajitambui.Hahahaaaa migwanda na ndio sababu hamjitambui mnapelekeshwa kaa mazombi
Mie nilidhani za Klabu ya YangaHivi wakuu hizi sare za kiume za hivi vyama ni nani aliwachagulia.
Yaani mkizivaa haziwapendezi hata kidogo yaani.
Mlishindwa kuchagua rangi nzuri ya sare kwaajili ya wanachama wenu.
Hivi hamwoni aibu kuvaa masale kama ya hayo.
Sii bora mngeshona sare hata zinazofanana na jezi za chelse au Arsenal kuliko kutuvalia masale meupe kama mizimu wengine wanatuvalia masale ya rangi ya kjivu kama makombati ya wavuta bangi.
Kwanini msichague sare zenye rangi inayovutia kama ya CCM.
Hivi hamwoni wivu mkiona wanaccm wanavyo tinga sare zinazovutia.
Hivi hamwoni aibu hata vile vitambaa vya wanawake wa CCM.
Kama hujanielewa naomba tutupie sare za ile siku ACT wanamkaribisha mwanachama mpya.
Na zile za Chadema alafu tutupie na za CCM.
View attachment 1517468
View attachment 1517469
View attachment 1517470
View attachment 1517471
View attachment 1517472View attachment 1517476
View attachment 1517478
Sipo kwenye hili jukwaa kwaajili ya kulipwa na mtu yeyote wala sihitaji malipo.
Nipo kwaajili ya kuzungumza ukweli.
Na huu ndio ukweli kwamba vyama vya upinzani vimejaa viongozi na wanachama washamba na ndio maana wameshindwa kuchagua angalau hata sare zinazovutia.
Wameshindwa kutambua kwamba hata sare ni sehemu ya chama.
Na ndio sababu hata wanachama wengi wa hivi vyama ni wale wasiojitambua walopokaji utadhani wanavuta mibangi.
Hiyo chlorophyll hata aliyesoma ngumbaru anaijua hapa tunaongelea mavazi!Mazingira/mimea ni ya kijani kwa sababu ya chlorophyll ya kusaidia photosynthesis acha uzembe ww
Hebu hapo ulipo vaa suruali ya kijani na shati la njano halafu mwenzako avae shati la blue na suruali nyeusi halafu uone
Picha zilisha tupiwa, watoto wamejaa lips.Duh no picha
Vijana waliopo huko wapo kwenye kozi za uchawi.Watu gani hao wanacheza ngoma na fisi?CCM li chama la wazee!! I mean hata vijana walioko huko pia wana mawazo ya kidingi dingi..
Ndiyo tabia zaoVijana waliopo huko wapo kwenye kozi za uchawi.Watu gani hao wanacheza ngoma na fisi?