Sargio Aguero: Football itamkumbuka kwa lipi?

Sargio Aguero: Football itamkumbuka kwa lipi?

Mwamba amelazimika kustaafu bila kupenda kufuatia kupatikana na matatizo ya moyo
Binafsi katika nyakati hizi toka 2008 hadi Sasa naamini dunia imepata namba 9 mahiri wa 11 tu
1.Zlatan Ibrahimovic
2.Sargio Aguero
3.Lowerndosk
4.Haland
5.Luis Suarez
6.Cavan
7.podosk
8.Toti
9.Benzema
10.Drogba
11.Etoo

Aguero nitamkumbuka kwa kufunga magoli mengi akiwa na man City na hata Atletico club de Madrid
Kati ya magoli nitayakumbuka Kuna moja Aguero aliingia Sub akafunga goli lilowapa city ubingwa wa kwanza
Na Kuna mechi man U alimpiga city 4-2 Aguero alipiga goli mbili classic
Binafsi namkumbuka kwa magoli yake ya kibabe
Uwezo wake wakugeuka na kushoot kwa nguvu
Hakika Aguero ni tofauti Sana na washambuliaji wakuprogramiwa

Wewe itamkumbuka kwa lipi?
Kinachofanya nimkumbuke ni uoga wangu kila nikimuona kwenye list halafu tunacheza nao, Pep akimfanyia sub huwa nafurahi sana maana najua tishio katolewa
 
Back
Top Bottom