Sasa dunia imevurugika, vijana wanajivalia tu mavazi yoyote yale bila kujali jinsia zao.

Sasa dunia imevurugika, vijana wanajivalia tu mavazi yoyote yale bila kujali jinsia zao.

Bonde la Baraka

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2016
Posts
4,580
Reaction score
7,943
Habarini!

Kuna hili suala la mavazi hasa kwenye majiji, manispaa na miji ya hapa Tanzania na nchi karibu zote duniani. Vijana wengi sasa wakitembea barabarani ili ujue jinsia zao basi itakubidi utazame kifuani au sehemu zingine za miili yao ndipo utajua huyu ni msichana au mvulana na si mavazi pekee.

Kama suruali zao zinafanana, pensi pia zinafanana, t-shirts zinafanana, na wakati mwingine mpaka vikanyagio(viatu) vinafanana.

Hair style inafanana. Wengine wanajipodoa uso ingawa huita scrub ili kuhalalisha upuuzi.
Duuuuhhh, vijana wenzangu Mungu anawaona .
 
Back
Top Bottom