ArchAngel
JF-Expert Member
- Oct 11, 2015
- 4,513
- 3,757
Nachukia sana ninapoona mwanaume anafanya scrub/manicure/pedicureMwanaume unatindua nyusi, unalainisha mdomo,!!!!!
Sent using Sukhoi Su-57
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nachukia sana ninapoona mwanaume anafanya scrub/manicure/pedicureMwanaume unatindua nyusi, unalainisha mdomo,!!!!!
Habarini!
Kuna hili suala la mavazi hasa kwenye majiji, manispaa na miji ya hapa Tanzania na nchi karibu zote duniani. Vijana wengi sasa wakitembea barabarani ili ujue jinsia zao basi itakubidi utazame kifuani au sehemu zingine za miili yao ndipo utajua huyu ni msichana au mvulana na si mavazi pekee.
Kama suruali zao zinafanana, pensi pia zinafanana, t-shirts zinafanana, na wakati mwingine mpaka vikanyagio(viatu) vinafanana.
Hair style inafanana. Wengine wanajipodoa uso ingawa huita scrub ili kuhalalisha upuuzi.
Duuuuhhh, vijana wenzangu Mungu anawaona .
Kabisa mfano bomba kabisa ni Daudi Bashite
kuna zile jinzi za kuchanika mapajani alafu unakuta mtoto wa kiume hata vinyoleo hana plus ngozi ya paja inavoivanga wallah ushoga ndio kwanza unakole....wanaume vijana tubadilike sio kila kitu cha kuiga
Huyo aliesema kawaida hata yeye ukiona picha huwezi kujua kama ni ke au me,usasa unatuvuruga sana mkuu.Ndiyo kawaida. Uovu uliozoeleka hugeuka kuwa utamaduni.
Qumamako kama wewe ndo Bashite kafie mbele huko na shobo zako za kidada mwanaume unakuwaje na matako makubwa si dalili za kubakwa hizo shubahamit
Uko sahihi wala usithubutu kubadirisha lolote umenena vyema mimi ndie nilijichagulia umbo nililo nalo sasa.Huyo Bashite ndio alitaka awe vile au? Unapoongea hivyo humkashifu Bashite bali unamkashifu mbabe aliemuweka Bashite awe vile ambae ndio huyo huyo alietaka wewe uwe hivyo ulivyo sasa. Au na wewe ulijichagulia sura na umbo hilo ulilonalo?
Uko sahihi wala usithubutu kubadirisha lolote umenena vyema mimi ndie nilijichagulia umbo nililo nalo sasa.
.
Ni uzembe wa hali ya juu kwa mwanamume kuwa na kitambi au matako makubwa, ndio maana siku hizi Bashite anashinda gym ayaondoe na kuna kina Dj sinyorita wanaokesha kuyajaza
Hapa hatuzungumzii sura japo pia naweza kujichagulia niwe na sura gani na jinsia gani, hata leo hii inawezekana.Kwa hiyo ulijichagulia hiyo sura ? Ni makosa sana yanafanyika katika jamii na wengine wamekuwa wakiwadhihaki watu wenye vichwa vikubwa na maumbile madogo ya kiume na kasoro nyingine nyingine ambazo binadamu hana utashi nazo
Hapa hatuzungumzii sura japo pia naweza kujichagulia niwe na sura gani na jinsia gani, hata leo hii inawezekana.
.
Tunazungumzia mauzembe na kujitakia kuwa na umbile kama ya mwanamke, Bashite ni mzembe na pengine kajitakia awe na matako makubwa na malaini kimtaani tunaita ntentemente kama ni wewe ama ni mtu wako wa karibu, mfikishie habari au habari ikufikie ya kwamba
Vidume tunakutamani
U're talking non sense coz mabadiliko hayo nayaona kwa vijana wa Islam,kikristo hata wapagan afu kitu kingine hamna dini inayofundisha uhuni na ndo maana pamoja na kudai waislam wako makin na uvaaj lakn kuna walotoboa mpaka masikio na tabia zingine nying leo ngoja niishie hapo sku ingine ujtahd kureasonUislamu ukipiga kelele uvaaji wenu wa mavazi mnatoa povu, haya sasa mnamlaumu nani hapo! Uislamu unafundisha maadili mema nduguzanguni
Kuna wakati mtu anaweza pita mkawa mnajiuliza huyu dume au jike.. ndo dunia ya leo hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Kawaida gani minilitongoza kwenye harusi nikajua dem kumbe meni dakika kumi naona watu wananifata nakuanza kunilalamikia basi nikawaambia wamuite mlengwa nikawaambia muangalieni vizuri watu wote waliguna shangaziyake akamwambia Rudi nyumbani kabadirishe nguo alivyofika mbalikidogo akamwambia uvae nabuti shenzi nawanaume wahivyo wanatafunwa sana