Sasa dunia imevurugika, vijana wanajivalia tu mavazi yoyote yale bila kujali jinsia zao.

Habarini!

Kuna hili suala la mavazi hasa kwenye majiji, manispaa na miji ya hapa Tanzania na nchi karibu zote duniani. Vijana wengi sasa wakitembea barabarani ili ujue jinsia zao basi itakubidi utazame kifuani au sehemu zingine za miili yao ndipo utajua huyu ni msichana au mvulana na si mavazi pekee.

Kama suruali zao zinafanana, pensi pia zinafanana, t-shirts zinafanana, na wakati mwingine mpaka vikanyagio(viatu) vinafanana.

Hair style inafanana. Wengine wanajipodoa uso ingawa huita scrub ili kuhalalisha upuuzi.
Duuuuhhh, vijana wenzangu Mungu anawaona .
Weka walau kapicha kamoja

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wewe umeona tanzania.mbona tanzania wanajisitili.zunguka nchi za watu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habarini!

Kuna hili suala la mavazi hasa kwenye majiji, manispaa na miji ya hapa Tanzania na nchi karibu zote duniani. Vijana wengi sasa wakitembea barabarani ili ujue jinsia zao basi itakubidi utazame kifuani au sehemu zingine za miili yao ndipo utajua huyu ni msichana au mvulana na si mavazi pekee.

Kama suruali zao zinafanana, pensi pia zinafanana, t-shirts zinafanana, na wakati mwingine mpaka vikanyagio(viatu) vinafanana.

Hair style inafanana. Wengine wanajipodoa uso ingawa huita scrub ili kuhalalisha upuuzi.
Duuuuhhh, vijana wenzangu Mungu anawaona .
Picha au video zipo wapi? Ila ukumbuke na bidhaa nyingine ni unisex. Pia yaweza kuwa ndio social au biological evolution hiyo.
Swali: wao na wewe nani yupo sahihi? Na tutajuwaje?
 
Back
Top Bottom