Sasa dunia imevurugika, vijana wanajivalia tu mavazi yoyote yale bila kujali jinsia zao.

Sasa dunia imevurugika, vijana wanajivalia tu mavazi yoyote yale bila kujali jinsia zao.

kuna zile jinzi za kuchanika mapajani alafu unakuta mtoto wa kiume hata vinyoleo hana plus ngozi ya paja inavoivanga wallah ushoga ndio kwanza unakole....wanaume vijana tubadilike sio kila kitu cha kuiga
 
Wale wazee wa "Weka picha" ngoja nisaidie kuchombeza uzi
Screenshot_20190131-235850.jpg
 
Habarini!

Kuna hili suala la mavazi hasa kwenye majiji, manispaa na miji ya hapa Tanzania na nchi karibu zote duniani. Vijana wengi sasa wakitembea barabarani ili ujue jinsia zao basi itakubidi utazame kifuani au sehemu zingine za miili yao ndipo utajua huyu ni msichana au mvulana na si mavazi pekee.

Kama suruali zao zinafanana, pensi pia zinafanana, t-shirts zinafanana, na wakati mwingine mpaka vikanyagio(viatu) vinafanana.

Hair style inafanana. Wengine wanajipodoa uso ingawa huita scrub ili kuhalalisha upuuzi.
Duuuuhhh, vijana wenzangu Mungu anawaona .

Kabla hatujachangia weka picha kama kielelezo
 
Yaani kila kukicha idadi ya wanaume wanaopoteza marinda kwa hiari inaongezeka
kuna zile jinzi za kuchanika mapajani alafu unakuta mtoto wa kiume hata vinyoleo hana plus ngozi ya paja inavoivanga wallah ushoga ndio kwanza unakole....wanaume vijana tubadilike sio kila kitu cha kuiga
 
Mkuu wako wa region yako akiwa mbele yake unaweza kujua jinsia yake?
 
Qumamako kama wewe ndo Bashite kafie mbele huko na shobo zako za kidada mwanaume unakuwaje na matako makubwa si dalili za kubakwa hizo shubahamit

Huyo Bashite ndio alitaka awe vile au? Unapoongea hivyo humkashifu Bashite bali unamkashifu mbabe aliemuweka Bashite awe vile ambae ndio huyo huyo alietaka wewe uwe hivyo ulivyo sasa. Au na wewe ulijichagulia sura na umbo hilo ulilonalo?
 
Uko sahihi wala usithubutu kubadirisha lolote umenena vyema mimi ndie nilijichagulia umbo nililo nalo sasa.
.
Ni uzembe wa hali ya juu kwa mwanamume kuwa na kitambi au matako makubwa, ndio maana siku hizi Bashite anashinda gym ayaondoe na kuna kina Dj sinyorita wanaokesha kuyajaza
 
Kwa hiyo ulijichagulia hiyo sura ? Ni makosa sana yanafanyika katika jamii na wengine wamekuwa wakiwadhihaki watu wenye vichwa vikubwa na maumbile madogo ya kiume na kasoro nyingine nyingine ambazo binadamu hana utashi nazo
 
Hapa hatuzungumzii sura japo pia naweza kujichagulia niwe na sura gani na jinsia gani, hata leo hii inawezekana.
.
Tunazungumzia mauzembe na kujitakia kuwa na umbile kama ya mwanamke, Bashite ni mzembe na pengine kajitakia awe na matako makubwa na malaini kimtaani tunaita ntentemente kama ni wewe ama ni mtu wako wa karibu, mfikishie habari au habari ikufikie ya kwamba

Vidume tunakutamani
 
Hata wanyama tu licha ya kuwa hawajapewa akili lakini hawajavuka mipaka ya kwenda kwenye liwati ila binadamu sasa kama inafikia mnawatamani hadi wanaume wenzenu basi poa mi nangojea nione mwisho wa mwenendo wenu huu je mtakuwa washindi au kinyume chake kwa kuwa hivi ama la!
 
Acha watu wavae wanavyotaka sio ishu hiyo. Kwani zamani kabla ya teknolojia mbona mavazi yalikuwa hayatofautiwni sana kati ya mwanaume na mwanamke?

Unajua maana ya Dunia kuvurugika?
Vitu kama vita, uchafuzi wa mazingira na mabadiliko ya hali ya hewa ndivyo ambavyo vinaweza kutuvuruguia Dunia, sio huo ujinga wenu sijui mavazi, mapenzi na upumbavu wa chumbani
 
Ndugu zanguni, siku wanaume wakianza kuvaa buibui, naomba mninunulie one-way ticket to Mars, please!
 
Uislamu ukipiga kelele uvaaji wenu wa mavazi mnatoa povu, haya sasa mnamlaumu nani hapo! Uislamu unafundisha maadili mema nduguzanguni
U're talking non sense coz mabadiliko hayo nayaona kwa vijana wa Islam,kikristo hata wapagan afu kitu kingine hamna dini inayofundisha uhuni na ndo maana pamoja na kudai waislam wako makin na uvaaj lakn kuna walotoboa mpaka masikio na tabia zingine nying leo ngoja niishie hapo sku ingine ujtahd kureason

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mambo ya kijinga sana, ukiwaambia wanakuita u mshamba.
Mshamba ni yule anayevaa vinguo ambavyo hata bungeni au sehemu sensitive huwezi kuingia nazo.
Haya yanayovaa kihuni ndiyo yanayotafunwa nyuma bila kujali jinsia zao
Kuna wakati mtu anaweza pita mkawa mnajiuliza huyu dume au jike.. ndo dunia ya leo hii

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona kawaida tu???unaishi dunia ipi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kawaida gani minilitongoza kwenye harusi nikajua dem kumbe meni dakika kumi naona watu wananifata nakuanza kunilalamikia basi nikawaambia wamuite mlengwa nikawaambia muangalieni vizuri watu wote waliguna shangaziyake akamwambia Rudi nyumbani kabadirishe nguo alivyofika mbalikidogo akamwambia uvae nabuti shenzi nawanaume wahivyo wanatafunwa sana
 
Back
Top Bottom